Aina mbali mbali za uyoga

Aina mbali mbali za uyoga

1741041500534.jpg
 
Kuna uoka pori huota kwenye mapori/ misitu ile ambayo juu kunafunga, chini kuna kuwa na uwazo na vichaka vichaka, humo utakuta uyoga wa aina tofauti.
.
.Alafu kuna mwingine huota kwenye uwanda wa wazi zaidi kwa kule nyumba uwanda huu huotesha uyoga wa aina mbili tu.
 
SIRI YA UYOGA UCHUMWE NA MWENYEJI UNAPOKUA UGENINI, UYOGA HAUGANISHWI, UNAWEZA KUTA UYOGA UNSOFANANA NA ULE UNAOLIWA KWENU KWINGINE UNA SUMU
 
Kuna uoka pori huota kwenye mapori/ misitu ile ambayo juu kunafunga, chini kuna kuwa na uwazo na vichaka vichaka, humo utakuta uyoga wa aina tofauti.
.
.Alafu kuna mwingine huota kwenye uwanda wa wazi zaidi kwa kule nyumba uwanda huu huotesha uyoga wa aina mbili tu.
Nahonyo naona una ufahamu mkubwa na hii kitu
 
Back
Top Bottom