#COVID19 Aina mpya, hatari zaidi, ya Kirusi cha Corona yagunduliwa Afrika Kusini

Katika classification za corona virus kuna virus of concern and virus of interest.

Virus of concern ni virus hatarishi zaidi kama ilivyokuwa delta virus na hiki cha sasa wataalam wanatoa taarifa kuna ni hatari zaidi ya delta.

Mbaya zaidi kimeanza kutokea kwa majirani zetu uko kusini mwa Africa na inawezekana hata hapa TZ kimeanza kusambaa na soon watu wataanza kuugua na kufa kwa wingi wakati tunaendelea na utamaduni wetu wa kuficha taarifa au kutoa taarifa fake.

Wakati nchi za mbali kama US UK European Union zikichukua hatua kali za kutokupokea wageni toka nchi za kusini mwa Africa TZ kupitia wizara husika ya Afya tuko kimya na si ajabu ATC inakwenda South Africa kubeba waathirika na kuleta TZ.

Wizara ya afya inabidi haraka sana mtoe tamko kuhusu tahadhali za hii corona virus mpya ili kupunguza madhara kwani nchi yetu waliopata chanjo ni wachache sana kama nchi nyingine za Africa
Unangoja nn kufa sasa ili tujue kweli kipo na sio taarifa fake
 
Back
Top Bottom