Aina mpya ya ushirikina

Dini ya kweli ni kwenda kuwatembelea wagonjwa wasiojiweza Mahospitalini, kuwafariji na kuwapatia mahitaji yao binafsi kadri ulivyobarikiwa na Mungu.

Je umewahi kufanya hivyo na mara ya mwisho kwako ilikuwa lini?

Kama bado basi anza sasa hivi, mwisho wa yote imani bila matendo imekufa.
 
Uganga uliochangamka au advanced tambiko la kiafrika
 
Naona tunaana kurudi kwenye dini zetu asili..safi sana suguye.

#MaendeleoHayanaChama
Baada ya hapo usishangae wakiagizwa waje na mnyama(ng'ombe,mbuzi,kondoo au kuku) pamoja na pombe za asili (mbege, rubisi, wanzuki nk) ili kutakaswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…