Aina mpya ya ushirikina

Aina mpya ya ushirikina

Mungu alimuumba binadamu kama kiumbe Bora kabisa akakipa ufahamu na uelewa ili kiweze kutambua wema na ubaya, mbaya zaidi tumeitupa tunu tuliyojaaliwa Allah au Mungu wetu, tumeshindwa kutofautisha Mungu wetu ni yupi na shetani ni yupi.

MUNGU ATUFUNGILIE HEKIMA NA UELEWA TUNAOUKWEPA KWA KUTAABISHWA NA UJANJA/HILA CHAFU ZA SHETANI, AMEN.
Dini ya kweli ni kwenda kuwatembelea wagonjwa wasiojiweza Mahospitalini, kuwafariji na kuwapatia mahitaji yao binafsi kadri ulivyobarikiwa na Mungu.

Je umewahi kufanya hivyo na mara ya mwisho kwako ilikuwa lini?

Kama bado basi anza sasa hivi, mwisho wa yote imani bila matendo imekufa.
 
Uganga uliochangamka au advanced tambiko la kiafrika
 
Naona tunaana kurudi kwenye dini zetu asili..safi sana suguye.

#MaendeleoHayanaChama
Baada ya hapo usishangae wakiagizwa waje na mnyama(ng'ombe,mbuzi,kondoo au kuku) pamoja na pombe za asili (mbege, rubisi, wanzuki nk) ili kutakaswa
 
Back
Top Bottom