Àina tatu za urefu wa mapaa hizi hapa wewe unachagua paa liende juu vipi

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
259
Reaction score
483
1721125462710.jpg

Chagua Mwinuko unaopendeza kwenye Boma. yaan Standard nzuri ya kuvutia👇

_Sisi tunajua tuinue vip Paa ambayo ipo kwenye Bonde

_Sisi tunajua tuinue vip paa ambayo lipo kwenye Mwiinuko/mlimani

_Sisi tunajua tuinue vip paa ambaya ipo kwenye Ta mbarale

_Na Pia kuzingati Barabara za mitaa kuwepa vivutio kwenye paa
KARIBU TUEZEKE PAMONA KWA KAZI ZA UHAKIKA
Karibu nipigie fundi mapaa James ofisi yangu ipo ukonga banana 0743257669
 
Nyumba ya mtu binafsi anayejiekewa number 1,ya serekare number 2 ya washamba waliozifumania hela number 3.

Serekali ukiwapaulia number 3 utaifumua na kupaua upya kwa pesa zako
 
View attachment 3043766
Chagua Mwinuko unaopendeza kwenye Boma. yaan Standard nzuri ya kuvutia👇

_Sisi tunajua tuinue vip Paa ambayo ipo kwenye Bonde

_Sisi tunajua tuinue vip paa ambayo lipo kwenye Mwiinuko/mlimani

_Sisi tunajua tuinue vip paa ambaya ipo kwenye Ta mbarale

_Na Pia kuzingati Barabara za mitaa kuwepa vivutio kwenye paa
KARIBU TUEZEKE PAMONA KWA KAZI ZA UHAKIKA
Karibu nipigie fundi mapaa James ofisi yangu ipo ukonga banana 0743257669
2 kwangu inanivutia
 
Back
Top Bottom