Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Yanapendeza sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanapendeza sana!
duh umepatia kweli maelezo yako. Mimi binafsi napenda hio namba 2. Mafundi hawanielewi.Nyumba ya mtu binafsi anayejiekewa number 1,ya serekare number 2 ya washamba waliozifumania hela number 3.
Serekali ukiwapaulia number 3 utaifumua na kupaua upya kwa pesa zako
Nimetumia namba mbili ila mafundi walinibishia sana. Nikaanza kuona kama nimebugi ivi. Ila naona kama moja ni bora zaididuh umepatia kweli maelezo yako. Mimi binafsi napenda hio namba 2. Mafundi hawanielewi.
Mikoani unatuma?View attachment 3043766
Chagua Mwinuko unaopendeza kwenye Boma. yaan Standard nzuri ya kuvutia👇
_Sisi tunajua tuinue vip Paa ambayo ipo kwenye Bonde
_Sisi tunajua tuinue vip paa ambayo lipo kwenye Mwiinuko/mlimani
_Sisi tunajua tuinue vip paa ambaya ipo kwenye Ta mbarale
_Na Pia kuzingati Barabara za mitaa kuwepa vivutio kwenye paa
KARIBU TUEZEKE PAMONA KWA KAZI ZA UHAKIKA
Karibu nipigie fundi mapaa James ofisi yangu ipo ukonga banana 0743257669
Hapo kama umechunguza aina ya nyumba ina matter. Namba moja na tatu unaweza kutumia style namba 1. Namba 2 ili ipendeze inabidi utumie hio hio style 2 ya serikali , na mimi nyumba ninazojenga huwa ziko box style hazina konakona, hivyo namba mbili inapendeza. Ila nyumba zenye konakona kama namba 1 na 3 style 1 inafaa sana. style namba 3 kama alivyosema mdukuzi ni ya kishamba inafaa washamba.Nimetumia namba mbili ila mafundi walinibishia sana. Nikaanza kuona kama nimebugi ivi. Ila naona kama moja ni bora zaidi
Geita fundi ukimpa tenda ajenge kwa mtindo wa namba2 anakataa kwamba unamuharibia cv watu wakiuliza nani kapaua🤣🤣Mapaa hayawezi kufanana,Kwa kuzingatia Hali ya hewa ilivyo tofauti.Hata hivyo namba 1 ni standard.Sijaelewa Kwa nini mapaa ya miradi ya serikali wanachukua namba 2.Halafu Namba 3 zimejaa Kanda ya Ziwa kuanzia Kahama na Katibu kipo Geita na Katoro.Nilimwambia fundi alipunguze maana lilikuwa kama mnara.Ila kuna maelezo ya Mafundi kwamba namba 3 wanajihami na Ndege anayehatibu Paa Kwa kujisaidia kwenye Paa na kinyesi chake kinatoboa bati.Bado natafiti sababu.
Kuna Bwana mdogo huku kitaa amepaua kwa mtindo namba 3. Ramani ya nyumba yake ni kali sana sema amekuja kuharibu kwenye paa tu.Hapo kama umechunguza aina ya nyumba ina matter. Namba moja na tatu unaweza kutumia style namba 1. Namba 2 ili ipendeze inabidi utumie hio hio style 2 ya serikali , na mimi nyumba ninazojenga huwa ziko box style hazina konakona, hivyo namba mbili inapendeza. Ila nyumba zenye konakona kama namba 1 na 3 style 1 inafaa sana. style namba 3 kama alivyosema mdukuzi ni ya kishamba inafaa washamba.
Yaani kuna watu wameharibu thamani ya nyumba zao kisa paa number 3Hapo kama umechunguza aina ya nyumba ina matter. Namba moja na tatu unaweza kutumia style namba 1. Namba 2 ili ipendeze inabidi utumie hio hio style 2 ya serikali , na mimi nyumba ninazojenga huwa ziko box style hazina konakona, hivyo namba mbili inapendeza. Ila nyumba zenye konakona kama namba 1 na 3 style 1 inafaa sana. style namba 3 kama alivyosema mdukuzi ni ya kishamba inafaa washamba.