stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 259
- 483
Kanda ya ziwa ndio nyumba zao hizoNo 1. ni wastan mzuri, siyo unapauwa nyumba inakuwa kama mnara wa Babeli
🤣🤣🤣🤣🤣No 3 anataka abebe maji ya mvua ya mji mzima
🤣🤣🤣🤣🤣Nyumba ya mtu binafsi anayejiekewa number 1,ya serekare number 2 ya washamva waliozifumsnia hela number 3.
Serekali ukiwapaulia number 3 utaifumua na kupaua upya kwa pesa zako
2 kwangu inanivutiaView attachment 3043766
Chagua Mwinuko unaopendeza kwenye Boma. yaan Standard nzuri ya kuvutia👇
_Sisi tunajua tuinue vip Paa ambayo ipo kwenye Bonde
_Sisi tunajua tuinue vip paa ambayo lipo kwenye Mwiinuko/mlimani
_Sisi tunajua tuinue vip paa ambaya ipo kwenye Ta mbarale
_Na Pia kuzingati Barabara za mitaa kuwepa vivutio kwenye paa
KARIBU TUEZEKE PAMONA KWA KAZI ZA UHAKIKA
Karibu nipigie fundi mapaa James ofisi yangu ipo ukonga banana 0743257669
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Apewe maua yakeNamba tatu ndiyo mpango mzima shukrani kwa fundi wangu
Kwa nn namba 2 haifai dar?Huo mnazi wa 3 safi...hauna joto kabisa ukikaa ndani.
Ikipigwa finishing hiyo ni mansion
namba 2 haifai kabisa Dar
inaleta joto kali sana ndani.Kwa nn namba 2 haifai dar?
Sio kweliinaleta joto kali sana ndani.
Kufanya matengenezo juu ya dali ni mtihani...inabid fund avizie asubuh sana