Aina ya Bangi inayovutwa Tanzania imeachwa kuvutwa Marekani na ulaya tangu miaka ya 1970, watanzania wanaendelea kuvuta na kuyasifia makapi

Aina ya Bangi inayovutwa Tanzania imeachwa kuvutwa Marekani na ulaya tangu miaka ya 1970, watanzania wanaendelea kuvuta na kuyasifia makapi

Nilivutaga bangi, heart rate ilipanda kwa kasi ya 5G nikakaa chini nikalala na ni kitu ambacho hakikuwahi nitokea kabla.

Nikaja nikajaribu mara ya pili siku tofauti ikawa vile vile... Nika quit sijawahi tena kugusa hayo madude miaka sasa, na hata mtu akiwa anavuta huwa nakaa mbali.
 
Kwa hapa bongo sikushauri kabisa uvute,
 
Tena wanazovuta huko mitaani ndio uchafu.
Bangi ina miti,mbegu n.k
Unakuta kijana mwili umekauka midomo myeusii, macho yamebadilika... Sasa maisha gani hayo...
Kama mtu huna elimu ya unachotamani kukitumia ni heri utumie hata mwaka kujielimisha kuliko kukurupuka.

Vijana wengi tu tushaona wanawehuka kwa hizi hizi bange lakini huko Marekani hakuna tatizo mpaka Elon Musk anavuta fresh tu, hapo ndio inabidi uchimbe zaidi kwa kujipa elimu na utakuja gundua mengi ikiwemo hili la kwenye huu uzi.
 
Waambie watafute mushroom kama Wameshindwa Bangi (Hallucin mushroom iko Vizuri)
 
Inashangaza sana kuona hadi leo watanzania wanavuta makapi yaliyoachwa kuvutwa miaka ya 1970, yani mpaka leo hawajastuka tu !!

Makapi haya yanasifiwa kwa majina kama "Cha Arusha", "Tarime one", "Cha malawi", "Skanka ya Moro" n.k, kwa kujidanganya ni kiwango sawa na bangi za Marekani, ni uthibitisho usio na shaka kwamba watanzania wanaovuta bado wapo gizani na hawana elimu ya kilevi wanachotumia, ndio maana huwa sishangai vituko vya watumiaji wa huu mmea.

Ni kwamba Kuanzia miaka ya 1970 bangi inayolimwa haina mbegu, ni huku Tanzania na nchi nyingi Africa bado tupo gizani, ukitaka kuniamini watanzania hawajui chchote kuhusu hili ukiwajuza watakwambia "huwezi kutuambia chochote kuhusu bangi, Cha Arusha ndio chenyewe na hakuna bangi isiyo na mbegu", ni wabishi vibaya mno !!

Bangi ni mmea na kwa elimu ya shule ya msingi tulijifunza kwamba ili mmea utoe mbegu, inabidi mmea wa kike (female blant) unase polen za mmea wa kiume (male pant), polen huwa ni kama unga zinafikia mmea wa kike kwa upepo, kuhamishwa na wadudu, ndege, n.k. zikifikia mmea wa kike kuna mbegu zitaanza kuota.

hivyo ili bangi isiwe na mbegu inabidi mkulima apambane sana shambani kuzuia pollen isifikie mmea wa kike, yaani inabidi autunze sana mmea wa kike azuie pollen za mmea wa kiume zisifike.

Bangi inavyoota ikizuiwa kuzalisha mbegu matokeo yake mmea unaweka nguvu zote kuzalisha kilevi, huzalisha maua makubwa zaidi yenye kilevi pure, hii ndio bangi inayokuwa na viwango na salama kwa afya.

Huku Tanzania bangi inapandwa msituni inaachwa ijiotee bila uangalizi inasubiriwa kuvunwa tu, ni lazima ukute ina mbegu, huwezi vuta moja ndio maana unawaona watu wanazichambua kwenye vihanja kutoa mbegu na bado huwa kuna chembechembe zisizoonekana zitabaki,

mbegu hutolewa sababu zinafanya kichwa kiume, zinapunguza nguvu za kiume, zikivutwa zinapasuka kwa sauti kali zikiangukia kwenye nguo zinatoboa, hufanya macho yawe mekundu zaidi kuliko bangi isiyo na mbegu, kuacha alama za kudumu mishipa iliyovia damu kwenye macho, pia huwa zinaathiri mishipa ya ubongo.

Halafu kuna huu ujinga mwengine unaoonyesha wazi watanzania wanaovuta hawajui chochote, mtu anasifia bangi dume ina ubora zaidi anajionyesha wazi yupo gizani utawasikia "kitu ni dume hiki ni chenyewe", hawana hata elimu ya kujua kinachovutwa huwa ni maua yanayozaliswa na mmea jike, zile mbegu wanazotupa ni sehemu ya mmea dume.

Bangi ya Tanzania ipo hivi, unaweza kuona hizo mbegu zilivyojaa,

View attachment 2952253

Bangi isiyo na mbegu hii hapa

View attachment 2952255
Bange za huko nyingi zimeshafanyiwa mambo mengi ni ma GMO ndo maana kwa sasa wanaanza kuruhusu bangi nchi nyingi wana agenda zao,, wamarekani weusi wanadai nyingi zinacheza na hormone ndo maana wanaume wengi wanakua mashoga, hizo sio nzuri bora tu uvute jani lako la matombo hio ndo weed kweli ipo vilevile tokea ilivyoumbwa, za nje nyingi kwa sasa ni GMO zimefanyiwa michezo mingi maabara

View: https://youtu.be/u2MIdcsuNAQ?si=rTHWkQEFwZTpdwKA
 
sito sahau siku niliyo vuta bhangi kwa mara ya kwanza... nika kanyaga ugali kisha nikanywa mboga 🤣🤣🤣
 
Nilivutaga bangi, heart rate ilipanda kwa kasi ya 5G nikakaa chini nikalala na ni kitu ambacho hakikuwahi nitokea kabla.

Nikaja nikajaribu mara ya pili siku tofauti ikawa vile vile... Nika quit sijawahi tena kugusa hayo madude miaka sasa, na hata mtu akiwa anavuta huwa nakaa mbali.
Inamaana bangi inafaa Kwa wagonjwa wa MOYO wenye low blood pressure?
 
Inamaana bangi inafaa Kwa wagonjwa wa MOYO wenye low blood pressure?
Inapandisha blood pressure lakini sina utaalamu huo kwamba wenye low blood pressure watumie.
Nadhani kuna dawa maalumu wanaweza kutumia.
 
Bange za huko nyingi zimeshafanyiwa mambo mengi ni ma GMO ndo maana kwa sasa wanaanza kuruhusu bangi nchi nyingi wana agenda zao,, wamarekani weusi wanadai nyingi zinacheza na hormone ndo maana wanaume wengi wanakua mashoga, hizo sio nzuri bora tu uvute jani lako la matombo hio ndo weed kweli ipo vilevile tokea ilivyoumbwa, za nje nyingi kwa sasa ni GMO zimefanyiwa michezo mingi maabara

View: https://youtu.be/u2MIdcsuNAQ?si=rTHWkQEFwZTpdwKA

Huyo katafuta tu kichaka cha kuficha aibu ya kupenda kulaliwa na wanaume wenzake, wamarekani weusi kibao wanavuta bange na wapo straight kama mshale.
 
sito sahau siku niliyo vuta bhangi kwa mara ya kwanza... nika kanyaga ugali kisha nikanywa mboga 🤣🤣🤣
images (11).jpeg
 
Kula Chuma Hicho..!!!
 
Attachments

  • 7bu Ya Mashada Dah Na Ma Weed Dih.... ( 937 X 750 ).mp4
    2.2 MB
Umetoa povu sana hadi mishipa imekutoka utafikiri kuna la maana umeandika, kwani kuku unayekula Tanzania ni sawa na kuku wa marekani? Acha watu wale tarime one na skanka na marekani wale bangi jike lao
 
Nimesikitishwa sana na huu uzi
Yan makapi wakati yanaharibu watu
Dah kweli
 
Back
Top Bottom