Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Leo nime pewa mualiko na Binti wa zamaniMda wa diko kijana Leo hupiki?
πππ na wew ni bossHuku jf kila mtu ni boss
Hapana mkuu mimi ni kapuku fulani hivi amaizingπππ na wew ni boss
π mkuu. Hutaki kesi na boss wakoMungu nifundishe kunyamaza
Sina bossπ mkuu. Hutaki kesi na boss wako
Hiyo safiSina boss
Wanyaturu nao wameanza kuwa mabosi!?πππππHell
Katika maisha tumepitia mengi sana na kukutana na watu tofauti
Boss wangu wa kwanza alikuwa wakike huyu alikuwa mkali sana ukikosea kidogo ana kusema mbele za watu akimaliza ana kuambia rudi nyumbani mpaka nitakapo kupigia mimi simu tena hapo ana taka uende ofisini kwake uka mlambe miguu mnyakyusa
Boss wa pili: alikuwa wakike tena huyu alikuwa ana toa kazi kwa machawa wake yaani kuna kazi ya mkoa ina takiwa mtu aende basi ana wapa chawa wake ila tuliishi nae ivyo ivyo huyu mgogo
Boss wa tatu: alikuwa wakike huyu alikuwa ataki shobo ila ana gawa pesa hatari achagui isipokuwa kero ni mashauzi alikuwa pisi sana ila mashauzi mengi sana huyu ni mnyaturu
Boss wa nne: huyu alikuwa ni kama mlezi ni mama wa makamo alikuwa mcheshi sana tena humble uki mfurahisha ana kupa pesa ila sasa huyu shida alikuwa ana taka uwe una sema madhaifu ya wenzako huyu ni muhehe
Boss wa tano : huyu alikuwa wakiume yeye hana maneno sana ila pesa ana toa ila ili muive na ule pesa yake sana lazima uwe una mpelekea umbea taarifa za matukio yoote yalio tokea huyu mngoni
Boss wa sita : wakiume pia huyu alikuwa mzungu sana up now tuna wasiliana vyema huyu alikuwa ataki umbea ila ana penda mtu muwazi sana kwahiyo tukawa tuna piga sana story tofauti na wengine huyu ulikuwa na uwezo wa kumuambia hapana au uka mkosoa na ukimwambia now nimechoka naomba niifanye hii kazi kesho kama haina haraka alikuwa muelewa huyu ni mnyakyusa
Boss wa saba : huyu sio muongeaji ata ukimkosea hakuambii wewe ndio ujiongeeze kusema hapa nimekosea samahan ana kuelewa maisha yana endelea pia ni muungwana sana hana shida kabisa huyu ni mgoni
Boss wangu wa zamani alikua humble na mtu mwenye empathy ila ni mbadilikaji dakika mbili.Hell

Yuko friendly sana. No more commentHell