Dah mna moyo sana kuvumilia.Boss wangu wa zamani alikuwa ni mtu wa kusikiliza sana maneno ya watu kwa vile yeye pia ni mpenda umbea, kwahiyo watu wakikukandia utafukuzwa kazi.
Huyu mwingine yeye unaweza ukawa umeshafanya kazi zako akikukuta umerelax ataanza kutafuta kitu cheese kasoro ilimradi uinuke ukakishughulikie
Wamapatia maisha now πWanyaturu nao wameanza kuwa mabosi!?πππππ
Unaenda nae ivyo ivyo ba ubish wakeBoss wangu wa zamani alikua humble na mtu mwenye empathy ila ni mbadilikaji dakika mbili.
Hapendi umbea na hapendi kuongea sana anapenda vitendo.
Ila shida ili uonekane una faida kwake na ufaidi pesa zake uwe ni mtu wa kumpa mawazo tofauti ya kimaendeleo kuhusu kazi husika.
Tabu yake nyingine mbishi sana,kile anachosema yeye anataka kionekane sahihi hataki umbishie wala umpe maelezo.
Mie mwenyewe jeuri hapo tulishindwana maana mie kufokewa sitaki naweza hata kukufokea bosi.
Una bahati mbaya sana πBoss wangu wa zamani alikuwa ni mtu wa kusikiliza sana maneno ya watu kwa vile yeye pia ni mpenda umbea, kwahiyo watu wakikukandia utafukuzwa kazi.
Huyu mwingine yeye unaweza ukawa umeshafanya kazi zako akikukuta umerelax ataanza kutafuta kitu cheese kasoro ilimradi uinuke ukakishughulikie
Na wewe ukawa una kamiaWA kwangu alikuwa ukimpa shoo fresh anakupa mapumziko ya siku Moja hadi tatu
ππ uvumilivu muhimuDah mna moyo sana kuvumilia.
Mie mwaka mmoja nishapoteza ajira mara tatu kwa kuwa short tempered.
Yaani Mungu anipe fwedha tu nikajiajiri nimechoka kutumikishwaUna bahati mbaya sana π
Aaah weee hamna mkuu, uvumilivu ukizidi unazaa unyonge na uoga mwishowe kuonewa na uchawa na kuishi kimasha mashaka kazini.ππ uvumilivu muhimu
Wanyaturu wakishika hela ni kama warangi weeeh πππ utaimba haleluyah.Wamapatia maisha now π
UpumzikiYaani Mungu anipe fwedha tu nikajiajiri nimechoka kutumikishwa
Sio kidogoNa wewe ukawa una kamia