Aina ya movie unazopenda ndiyo tabia yako ilivyo

Tunaopenda muvi za X je tutakuwa ma porn star au?
 
Namba 4 ndo ugonjwa wangu sana[emoji125] [emoji125] [emoji125] ndukiiiiii
 
Naunga mkono hoja kwa kile unachokisema maana chanzo cha mm kuwa mchawi in hz movie za kutisha zilinivutia
 
Na vipi wanaopenda muvi za Nigeria? Ghana?
Kuna series za kichawi kama Merlin hao unawazungumziaje?
Kwanza kabisa unadhani Movie nyingi za Ghana na Nigeria huwa zina story za aina gani mara nyingi ? Visa vya mapenzi, usaliti,uchawi au?

Kuhusu series za kichawi ni kwamba mtu anayependa movie hizo hupenda mambo ya kufikirika na pia hutamani kuwa na uwezo wa kimaajabu.
 
Mie napenda za kihindi nduki
Mie pia napenda za kihindi hasa kwenye kipengele cha star wa movie anapoamua kufanya lolote ili aweze kumpata yule ampendae au kufanya lolote kulinda penzi lake. Na kuhusu vikota ndiyo nakufa kabisa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…