Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie mtakua mapushaKwahyo sie wa kimexico mbona hamjatuweka hapo
Ha ha ha ha ha asante sanaNyie mtakua mapusha
Hebu nitajie mbili tatu ni zitafute.Sasaivi wameendelea!! Wana movies kali sana!!!
Za mandingo je?Habari wana JF
Nimejaribu kufuatilia na nikagundua kuwa aina ya movie unazozipenda ndivyo tabia yako ilivyo. Maana unapofuatilia zile movie kuna vitu unachukua na kufanya kwenye maisha halisi. Hii ni mifano michache niliyogundua;
1.WANAOPENDA MOVIE ZA KIHINDI
★Huwa na mapenzi ya kweli
★Hupenda sana visasi
2.WANAOPENDA MOVIE ZA KIZUNGU
★Huwa hawatulii na mpenzi mmoja
★Hupenda ugomvi
★Hujiona wanajua kila kitu
3. WANAOPENDA MOVIE ZA KIKOREA
★Huwa na mapenzi ya kweli
★Hupenda kuishi maisha ya kuwa viongozi au watoto wa viongozi
4.WANAOPENDA MOVIE ZA KUTISHA
★Hupenda wawe na nguvu za ziada
★Huwa na mawazo ya kusadikika au huwaza mambo yasiyokuwepo
5. WANAOPENDA MOVIE ZA KIBONGO
★Ni waongo
★Hupenda kuigiza maisha yasiyokuwa yao
Karibuni tujadili kama nawe unaamini hivyo au una maoni tofauti
nawe ni katuni[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Napenda cartoon
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nawe ni katuni[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sikumbuki majina...Hebu nitajie mbili tatu ni zitafute.
Alafu hiyo avatar yako.....
asee yani hapo kwenye secret circle na harry potter nilikuwa nazipenda hatari! mimacho naitumbua tom riddle a k a voldmort anavyo wasurubisha wenzakeHahaha?
Harry potter
The secret circle
Witches of East end
wewe unapenda movie za aina gani?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hayo yako sasa
Ila wanatamani wangekuwa wanaweza kuwa na uwezo wa ajabu
Ukipenda movies za Science and Technology... Ukipenda movies za True Stories... Unakuwa na tabia gani??