Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,648
- Thread starter
- #61
Utakuwa unapenda General knowledge na hupendi maisha ya kuigiza yasiyo na uhalisiaVipi kwa mimi kila muvi nipo ispokuwa bongo muvi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa unapenda General knowledge na hupendi maisha ya kuigiza yasiyo na uhalisiaVipi kwa mimi kila muvi nipo ispokuwa bongo muvi?
We unaitwa central...kifaa cha kisasa kishakunasaKwahyo sie wa kimexico mbona hamjatuweka hapo
Ahahahaha lavionnnsaaaaaasitaki kuamini wanaopenda movie za harry potter wanapaa na mifagio usiku
Hupenda mambo ya kufikirika na unatamani maisha tunayoishi yangekuwa katika sayari nyingineNapenda sana movies zinazohusu mambo ya nje ya dunia.Mf movies za Allien na nyingine zinazoelezea maisha beyond the reality.
Movie zenye story zatrue love huzipendi ? mmmmh....!! Haya mamanapenda movie zoteee kasoro za kihindi na kikorea
Wewe movie kwako ni burudaniWengine hapa ni mazoazoa!!! Tunaangalia anything good
Na zile za kifilipino na mexican moviesNa vipi wanaopenda muvi za Nigeria? Ghana?
Kuna series za kichawi kama Merlin hao unawazungumziaje?
Sasaivi wameendelea!! Wana movies kali sana!!!hakuna muvi zilizo kuwa zinanichanganya kama hizi enzi za utoto. sikumbuki mara ya mwisho kuangalia ni lini
Hahaha?sitaki kuamini wanaopenda movie za harry potter wanapaa na mifagio usiku
Kabisaaa! Yaani hapa naangalia movie ya kufungulia siku!!!!Wewe movie kwako ni burudani
Story zake huwa zinahusu nn mkuu ? Maana nimeangalia za hivi karibu za kichawi hasa za huyu binti anayekuja kwa kasi Regina Daniel maana nimependa technology yao wameongezekaZa kinigeria na Ghana umetutenga mkuu
Tunaopenda muvi za X je tutakuwa ma porn star au?
Tabia wanazo ila hapa tunazungumzia kuweza kujua tabia ya mtu kuna njia nyingi mojawapo ni hii.Na wale wasiopenda movie kabisa je ?Hawana tabia kabisa au sio?
Vp kwa wanaopenda za wanyama!! Nao watakuwa wanyama?
Au umeamua tu kutupima mawzo?
Ni kweli mkuu nilipaswa kuweka hivyonilitegemea ubainishe zaidi maudhui ya filamu ndio viende sambamba na tabia kwa mtu anaependa aina hiyo..
-action movie
-love story
-horrow movie
-adventure
-drama
-science movie
-robotic
-animation
-war/battle movie..
sasa kama mimi napendelea zaidi Action movie na horror za aina zote....