Aina ya movie unazopenda ndiyo tabia yako ilivyo

Napenda sana movies zinazohusu mambo ya nje ya dunia.Mf movies za Allien na nyingine zinazoelezea maisha beyond the reality.
 
Aisee vipi wale wanaopenda za kujigjig kwichikwich
Hupenda mambo ya hivyo hivyo na mara nyingi ni watu amabo huenda wako single/madomo zege au huishi mbali na wapenzi wao na pia huwa hawajiamini kama wanaweza kuwaridhisha wapenzi wao hivyo hutaka kuchukua ma mbinu mule.
 
Hii haijakaa sawa,unatofautisha vp movie za kutisha na movie za kizungu au kikorea? maana katika movie za wazungu zipo za action mapenzi na hata kutisha,na Korea pia hivyo hivyo.
 
Napenda series za mahuckes na majasusi ilihali mi ni mfanyabiashara hapo vp
Kuna tabia mtu huwa anakuwa nayo ndani ila mtu mwenyewe anaweza asijue, utakuwa unapenda sana kuwa askari upelelezi au unapenda kujua kitu kwa undani wake.

Lakini bado utakuwa unatumia mbinu za kijasusi ili uweze kuvutia wateja kwenye biashaera yako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
napenda za wizi.kipelelezi.comedy. na xxx kidgo.
Unataka kuwa mwizi(napenda za wizi) na ili uweze kufanikisha unahakikisha unajua mbinu zote za kipelelezi usikamatwe (upelelezi) na ukifanikiwa hilo unaenda kujifurahisha(comedy)ukiangalia na xxx kwa mbali(na xxx kidogo)
 
sitaki kuamini wanaopenda movie za harry potter wanapaa na mifagio usiku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hayo yako sasa

Ila wanatamani wangekuwa wanaweza kuwa na uwezo wa ajabu
 
Hii haijakaa sawa,unatofautisha vp movie za kutisha na movie za kizungu au kikorea? maana katika movie za wazungu zipo za action mapenzi na hata kutisha,na Korea pia hivyo hivyo.
Si kila movie ya kizungu inatisha mfano za akina Van damme(action),rambo(vita) hivyo kuna mwingine hupenda za action za kivita hazipendi,mwingine hupenda za kutisha za vita hapendi ingawa waigizaji huwa ni wazungu, wakorea, wajapan n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…