Aina ya movie unazopenda ndiyo tabia yako ilivyo

Napenda sana movies zinazohusu mambo ya nje ya dunia.Mf movies za Allien na nyingine zinazoelezea maisha beyond the reality.
Hupenda mambo ya kufikirika na unatamani maisha tunayoishi yangekuwa katika sayari nyingine
 
Za kinigeria na Ghana umetutenga mkuu
Story zake huwa zinahusu nn mkuu ? Maana nimeangalia za hivi karibu za kichawi hasa za huyu binti anayekuja kwa kasi Regina Daniel maana nimependa technology yao wameongezeka
 
nilitegemea ubainishe zaidi maudhui ya filamu ndio viende sambamba na tabia kwa mtu anaependa aina hiyo..
-action movie
-love story
-horrow movie
-adventure
-drama
-science movie
-robotic
-animation
-war/battle movie..

sasa kama mimi napendelea zaidi Action movie na horror za aina zote....
 
Ni kweli mkuu nilipaswa kuweka hivyo

Ila niliona niweka kwa makundi maana ukiangalia kila kundi huwa na story tofauti lakini kuna vitu in general hufanana kulingana na tamaduni zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…