Aina ya movie unazopenda ndiyo tabia yako ilivyo

daah napenda sana ANIMATION movies...huwa nnamini wale directors wana akili nyingi sana wale watu
 
Hupenda mambo ya hivyo hivyo na mara nyingi ni watu amabo huenda wako single/madomo zege au huishi mbali na wapenzi wao na pia huwa hawajiamini kama wanaweza kuwaridhisha wapenzi wao hivyo hutaka kuchukua ma mbinu mule.
na walio na wapenzi wao nyumbani kabisa?
 
Sasa kama napenda movie hizi zote ndo nakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…