Aina ya movie unazopenda ndiyo tabia yako ilivyo

Aina ya movie unazopenda ndiyo tabia yako ilivyo

Habari wana JF

Nimejaribu kufuatilia na nikagundua kuwa aina ya movie unazozipenda ndivyo tabia yako ilivyo. Maana unapofuatilia zile movie kuna vitu unachukua na kufanya kwenye maisha halisi. Hii ni mifano michache niliyogundua;

1.WANAOPENDA MOVIE ZA KIHINDI
★Huwa na mapenzi ya kweli
★Hupenda sana visasi

2.WANAOPENDA MOVIE ZA KIZUNGU
★Huwa hawatulii na mpenzi mmoja
★Hupenda ugomvi
★Hujiona wanajua kila kitu


3. WANAOPENDA MOVIE ZA KIKOREA
★Huwa na mapenzi ya kweli
★Hupenda kuishi maisha ya kuwa viongozi au watoto wa viongozi


4.WANAOPENDA MOVIE ZA KUTISHA
★Hupenda wawe na nguvu za ziada
★Huwa na mawazo ya kusadikika au huwaza mambo yasiyokuwepo


5. WANAOPENDA MOVIE ZA KIBONGO
★Ni waongo
★Hupenda kuigiza maisha yasiyokuwa yao


Karibuni tujadili kama nawe unaamini hivyo au una maoni tofauti
Za mandingo je?
 
Na sisi tuonao angalia zinazo tengenezwa na haya makampuni " brazzers, vivid, evasive angles, private. Bangbros, jules jordan, " tabia zetu ni zipi
 
unanifulaisha kwaio mm ninae penda muvi za ngono aka pilau au minyambo
 
Umezi-categorise based on what!?.
Maana naona ni full kachumbali...
 
Orodha yako ingefaa sana kama MUVI ZA PORN ZINGEKUWEPO........................
 
Hahaha?
Harry potter
The secret circle
Witches of East end
asee yani hapo kwenye secret circle na harry potter nilikuwa nazipenda hatari! mimacho naitumbua tom riddle a k a voldmort anavyo wasurubisha wenzake
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hayo yako sasa

Ila wanatamani wangekuwa wanaweza kuwa na uwezo wa ajabu
wewe unapenda movie za aina gani?
nijue unatamani nini kwenye maisha haya
 
Back
Top Bottom