The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
[A.] Mahojiano ya BBC na Rais wa Tanzania, Bi. Samia Suluhu Hassan yanatafakarisha sana...
Mimi sifanyi tathmini ya aidha amejibu maswali vibaya au vizuri. Ninchotaka kusema ni kuwa, yamefunua vitu vipya incase kama mtu haja - notice. Nitaeleza;
1. Huyu mama kuna kila dalili kuwa she's a honest woman. Anapenda haki. Hapendi mtu anyanyasike. Anapenda mtu ahukumiwe kwa haki popote wakati wowote.
2. Kwa sababu hiyo #1 hapo huu, anawaaamini wasaidizi wake wote na chochote anachokipokea toka kwao kama ushauri au maelekezo kuhusu siasa, usalama, uchumi, jamii nk. ili yeye kama Rais atoe maamuzi au achukue hatua. THIS IS THE GREATEST MISTAKE OF HER LIFE.
[B.] Mpaka hapo ndugu yangu unisomaye unaweza kuanza kuiona hoja yangu, kwamba, ni kweli huyu mama aweza kuwa ni kiongozi mzuri lakini anaangushwa na mfumo mbaya wa nchi wa kisheria na kikatiba ambao unazaa taasisi dhaifu na zisizohuru za kuongoza nchi.
[C.] Chunguza majibu ya maswali yote aliyoyajibu juzi alipohojiwa na BBC.
Hatupaswi kumlaumu kuwa ni mjinga na katudanganya mchana kweupe. Ukweli ni kuwa amejibu sawasawa kwa sababu ndizo taarifa alizonazo kutoka kwa wanaopaswa kumpa hizo taarifa...!
Sasa kapewa taarifa sahihi au siyo sahihi, hiyo ni ishu nyingine yenye mjadala tofauti...
Ila kwa sasa itoshe tu kusema kuwa, kwa mfumo wetu wa dhaifu na mbovu wa kisheria na kikatiba, umezaa taasisi dhaifu na zisizo huru ambazo zinatazama uelekeo na mapenzi ya kiingozi mkuu (Rais) wa nchi na zenyewe kufuata mkondo huo...
[D.] Pamoja na udhaifu huu wa kisheria na kikatiba wa nchi yetu, marais wa awamu ya 1, 2, 3 na 4 ingalau walikuwa na aibu na haya kidogo kutumia udhaifu wa kikatiba kuleta unajisi katika nchi.
Busara na hekima binafsi za Marais hawa zilizuia kukiukwa kwa utawala wa kisheria kwa kiwango fulani (msisitizo ni "kwa kiwango fulani")...
Awamu ya 5 ilipoingia madarakani mwaka 2015 chini ya Rais John P. Magufuli, things turned upside down. Huyu hakuwa na busara wala hekima. Alitumia kikamilifu mapungufu/madhaifu ya katiba ya 1977 kujaribu kuingiza utawala wa kimla Tanzania...
Alifanikiwa kwa kiasi kikubwa. Bahati njema ni kuwa, alikufa miezi karibu mitano iliyopita. Lakini masalia ya utawala wake yangalipo na kwa sasa yanajitokeza kwa kasi ya 5G ndani ya utawala wa huyu mwanamama...
Kilichotokea ktk mahojiano ya juzi kati ya BBC na Rais wa JMT Bi. Samia Suluhu ni picha halisi kuwa, " umagufulism" bado upo na unatawala ndani ya huyu mama.
Na walishamteka na yeye ameshakubali. Kama hatageuka na kushituka haraka, tufahamu kuwa, the worst is coming....!
Kwa mwenendo huu, huyu mama kamwe hataona umuhimu wa katiba mpya ya wananchi...!!