Pre GE2025 Aina ya Watu wanaohudhuria Mikutano ya Dkt. Nchimbi huko Mikoani inafikirisha sana

Pre GE2025 Aina ya Watu wanaohudhuria Mikutano ya Dkt. Nchimbi huko Mikoani inafikirisha sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ni dhahiri kwamba Emmanuel Nchimbi hana ushawishi wowote wa kisiasa ndani na nje ya ccm, hana ushawishi Jukwaani wala ofisini (Haifahamiki waliomteua walilenga nini), Matokeo yake ndio haya .

Huu hapa ni Mkutano wa Lindi

Screenshot_2024-07-30-21-06-05-1.png

Angalia kwa Makini halafu Toa Maoni yako
 
Chadema!

Mmetukana na kushambulia makabila (Sukuma gang,Wamachinga n.k)

Mmetukana na kushambulia dini na madhehebu (Wavaa kobazi,Upako n.k)

Mmetukana Kanda za watu (Ziwa, Zanzibar,Kusini n.k)

Mmetukana mikoa (Geita-Chato,Singida,Tabora,Kigoma)

Mmetukana vijana wa Tanzania mkawasifu vijana wenye njaa wa Kenya

Mmetukana na kushambulia Kada na taaluma za watu (Walimu,Maaskari n.k)

Sasa mnahamia kwa hawa wakina mama!

Kuna kipindi mjipime uwezo wenu wa kufikiri na ku reason.
 
Tunaomba ushahidi wa hayo matusi
 
Hawa wazee Wana tofauti Gani na Bibi zako kijijini?
Wazee hawa wangekuwa wapo kwenye Mkutano wa Mbowe ungeandika maneno hayo?
Au mna aina ya watu wenu wanaokuja kwenye mikutano yenu?
Hakuna sababu hata Moja ya kuwatweza hawa watu,huo Umasikini wao unapimwaje kwenye hii picha?

Hao Wana mashamba Yao,Wana Nyumba zao,Wana watoto wao na wajukuu!
Wao kuhudhuria Mkutano wa Nchimbi isiwe sababu ya kuwafanya kituko,wako huru kupenda wanachokitaka.
Umasikini ni dhahania tu.
Hao si mafukara pia!
Siasa zenu zimejaa Ubepari,mnathamini KITU badala ya MTU.
Ninyi mkibahatika kushika Dola siku moja,Watu wataikumbuka sana CCM.
 
Back
Top Bottom