Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Kwahiyo unalidharau kundi hili la wapiga kura halafu kesho unalalamika eti umeibiwa kura. Kwa taarifa yako CCM itabakia madarakani daima kwasababu ya kundi hili!Ni dhahiri kwamba Emmanuel Nchimbi hana ushawishi wowote wa kisiasa ndani na nje ya ccm, hana ushawishi Jukwaani wala ofisini (Haifahamiki waliomteua walilenga nini), Matokeo yake ndio haya .
Huu hapa ni Mkutano wa Lindi
View attachment 3057079
Angalia kwa Makini halafu Toa Maoni yako