Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Hayo ni maoni yakoHawa wazee Wana tofauti Gani na Bibi zako kijijini?
...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ni maoni yakoHawa wazee Wana tofauti Gani na Bibi zako kijijini?
...
Tuliza mshono. 2025 fomu ni moja tuPicha imejishibia yenyewe... Hakuna haja ya Maoni...
Beza sana aina hii ya watu katika mikutano ya CCM ila nakwambia hawa ndio wanaopiga kura. Siku chama chochote hapa Tanzania ikija kuwa na wafuasi na wanachama wa aina hii ndio wataweza itoa CCM madarakani.Ni dhahiri kwamba Emmanuel Nchimbi hana ushawishi wowote wa kisiasa ndani na nje ya ya ccm, hana ushawishi Jukwaani wala ofisini (Haifahamiki waliomteua walilenga nini), Matokeo yake ndio haya...
Tunakusanya maoni yenuBeza sana aina hii ya watu katika mikutano ya CCM ila nakwambia hawa ndio wanaopiga kura. Siku chama chochote hapa Tanzania ikija kuwa na wafuasi na wanachama wa aina hii ndio wataweza itoa CCM madarakani...
Ndo wapiga kura, vijana hatupendi foleni juaniNi dhahiri kwamba Emmanuel Nchimbi hana ushawishi wowote wa kisiasa ndani na nje ya ccm, hana ushawishi Jukwaani wala ofisini (Haifahamiki waliomteua walilenga nini), Matokeo yake ndio haya...
Ndio voters haoNi dhahiri kwamba Emmanuel Nchimbi hana ushawishi wowote wa kisiasa ndani na nje ya ccm, hana ushawishi Jukwaani wala ofisini (Haifahamiki waliomteua walilenga nini), Matokeo yake ndio haya..
Hao wamama wanaonekana dhahiri kuwa wanatafuta chochote kiingie mdomoni ili na wao vyoo vyao vichangamke.🐈⬛🐈⬛🐈⬛Ni dhahiri kwamba Emmanuel Nchimbi hana ushawishi wowote wa kisiasa ndani na nje ya ccm, hana ushawishi Jukwaani wala ofisini (Haifahamiki waliomteua walilenga nini), Matokeo yake ndio haya .
Huu hapa ni Mkutano wa Lindi
View attachment 3057079
Angalia kwa Makini halafu Toa Maoni yako
Bila shaka pia ndio aina ya Raia wa Tanzania walivyo au?Na hawa ndio wapigakura halali
Swali ni kwanini wanaohudhuria mikutano ya Nchimbi ni watu wa aina hii?Hucheka kovu asiyefikwa na jeraha. Wewe wacheke tu kwa sababu ya umri wao, hata hujui wewe utakuwa na mwonekano gani utakapofikia umri wao! Badala ya kuchambua hoja wewe unachambua watu!
Kavurugwa huyo achana naeTunaomba ushahidi wa hayo matusi
Bandiko lako linataswira ya kibaguzi, hivi ina maana kuwa wewe haufai kuwa kigezo bora cha jamii na haupaswi kusikilizwa kwa namna yoyote!!!Ni dhahiri kwamba Emmanuel Nchimbi hana ushawishi wowote wa kisiasa ndani na nje ya ccm, hana ushawishi Jukwaani wala ofisini (Haifahamiki waliomteua walilenga nini), Matokeo yake ndio haya .
Huu hapa ni Mkutano wa Lindi
View attachment 3057079
Angalia kwa Makini halafu Toa Maoni yako
Tangu lini ukweli ukawa ubaguzi?Bandiko lako linataswira ya kibaguzi, hivi ina maana kuwa wewe haufai kuwa kigezo bora cha jamii na haupaswi kusikilizwa kwa namna yoyote!!!
Umekosea kuanzia kwenye heading, content and image attached!!!
WeeeeWanawake hawa ndiyo age-mates wa Nchimbi. Huyo bibi mwenye mapengo alisoma darasa moja na Nchimbi
Hv matusi ni kitu gani? Hv ukiwaambia hao wazee maana ya katiba wanajua? DP World wanaijua? SGR wanaijua? CAG wanajua ni kitu gani! Siyo kuwatukana % kubwa ya wanaccm ongea nao ni wa aina hiyo! Wana majibu mepesi.Chadema!
Mmetukana na kushambulia makabila (Sukuma gang,Wamachinga n.k)
Mmetukana na kushambulia dini na madhehebu (Wavaa kobazi,Upako n.k)
Mmetukana Kanda za watu (Ziwa, Zanzibar,Kusini n.k)
Mmetukana mikoa (Geita-Chato,Singida,Tabora,Kigoma)
Mmetukana vijana wa Tanzania mkawasifu vijana wenye njaa wa Kenya
Mmetukana na kushambulia Kada na taaluma za watu (Walimu,Maaskari n.k)
Sasa mnahamia kwa hawa wakina mama!
Kuna kipindi mjipime uwezo wenu wa kufikiri na ku reason.