Pre GE2025 Aina ya Watu wanaohudhuria Mikutano ya Dkt. Nchimbi huko Mikoani inafikirisha sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni dhahiri kwamba Emmanuel Nchimbi hana ushawishi wowote wa kisiasa ndani na nje ya ya ccm, hana ushawishi Jukwaani wala ofisini (Haifahamiki waliomteua walilenga nini), Matokeo yake ndio haya...
Beza sana aina hii ya watu katika mikutano ya CCM ila nakwambia hawa ndio wanaopiga kura. Siku chama chochote hapa Tanzania ikija kuwa na wafuasi na wanachama wa aina hii ndio wataweza itoa CCM madarakani.

Tatizo lingine la wanachama wa vyama vingine hawapigi kura kwa wingi wao, ikifika siku ya boksi wanatanga tanga tu kwenye vituo vya kura ili wapate chochote kitu na mwisho wa siku upepo unabadilika wa kura kwenye kuzihesabu.
 
Bila hao Chama pendwa hakishindwi! Wazee hao walio wengi hawajui kusoma na kuandika wanapigiwa kura ya ndiyo hata kama hawakipendi chama!
 
Hao wamama wanaonekana dhahiri kuwa wanatafuta chochote kiingie mdomoni ili na wao vyoo vyao vichangamke.🐈‍⬛🐈‍⬛🐈‍⬛
 
Hucheka kovu asiyefikwa na jeraha. Wewe wacheke tu kwa sababu ya umri wao, hata hujui wewe utakuwa na mwonekano gani utakapofikia umri wao! Badala ya kuchambua hoja wewe unachambua watu!
 
Hucheka kovu asiyefikwa na jeraha. Wewe wacheke tu kwa sababu ya umri wao, hata hujui wewe utakuwa na mwonekano gani utakapofikia umri wao! Badala ya kuchambua hoja wewe unachambua watu!
Swali ni kwanini wanaohudhuria mikutano ya Nchimbi ni watu wa aina hii?
 
Bandiko lako linataswira ya kibaguzi, hivi ina maana kuwa wewe haufai kuwa kigezo bora cha jamii na haupaswi kusikilizwa kwa namna yoyote!!!

Umekosea kuanzia kwenye heading, content and image attached!!!
 
Tangu lini ukweli ukawa ubaguzi?
 
Hv matusi ni kitu gani? Hv ukiwaambia hao wazee maana ya katiba wanajua? DP World wanaijua? SGR wanaijua? CAG wanajua ni kitu gani! Siyo kuwatukana % kubwa ya wanaccm ongea nao ni wa aina hiyo! Wana majibu mepesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…