Pre GE2025 Aina ya Watu wanaohudhuria Mikutano ya Dkt. Nchimbi huko Mikoani inafikirisha sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwahiyo unalidharau kundi hili la wapiga kura halafu kesho unalalamika eti umeibiwa kura. Kwa taarifa yako CCM itabakia madarakani daima kwasababu ya kundi hili!
 
Hujafanya vyema hao pia ni binadamu kama wewe.

Jifunze kuheshimu binadamu wenzako.

Huna akili.
 
Maoni yangu




maoni yangu yako πŸ‘‡





 
Kwani nyinyi wanaccm hamchukui picha kwenye mikutano yenu?
Unaponishangaza I kuamua kuiha hata upumbavu wa CCM, nini maana ya kuwa chama mbadala kama mna viashiria vyote vya kutenda kama CCM. Sasa una tofauti gani na Lucas et al.
 
CCM hata Lindi haikubaliki?!
 
sio kwamba wame edit hapo...?
 
Hizi picha kama ni CCM wanaposti basi wahuni...hii ilikua enzi ya JK huko lindi picha ya maktaba hii.
 
Mama kabakiza jino moja tu la kutafunia mchicha yeye hata nyama robo iuzwe elfu kumi haoni shida
Acha zarau Kwa Wazee. Naomba ni Watu Wana heshima Yao. Uzee siyo Ugonjwa ni mchakato wa ukuaji
 
Umaskini ndio mtaji wa Nyinyiemu umaskini ukiisha na yenyewe bye bye ndio maana wanakaza tundelee kuwa maskini.
 
Sasa unashangaa kitu Gani?Siku zote hao ndiyo wapiga kura wa CCM,we unadanganyika na zile MOBB za wale GENZ wa kibongo bongo na drama za?Siasa za bongo ni hesabu Kali Babu....
Kama ni hivyo Jiwe aliibaje uchaguzi?
 
Nilitegemea uweke jukwaa bila watu au uweke mbuzi wakila nyanya kujustify kichwa chako cha habari na intro! Sasa hapa sijajua hoja yako ni nini? Kura inaanza na mtu mmoja. Pili, hawa wakikuamini hukosi kura zao. Gen Y na Z wanaweza kusukuma gari lako na wasikupigie kura kama kama trend ya mafuriko na kudeki barabara hukoo! Dk. Nchimbi ni mtu wa mikakati mzuri na mtu makiniπŸ™πŸ™πŸ™
 
Sasa CCM watawatoa wapi vijana? Ila hivi vizee ndivyo huwa vinawafunga magoli CHADEMA! Mavi-jana ya Tanzania matoyoyo huwa hayapigi kura!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…