Aina za Limbwata Wanawake wanazotumia kutushika, je we umepewa mojawapo hapa. Ni uchafu mtupu

Hizi limbwata wanawekewa wanaume wenye pesa. Maana kuna mtu anatamani ang'ang'ane na mwanamke anaishia kufukuzwa.
 
Dah!
It is heartache!
 
Pole Bro!
Moyo wa mtu unaficha mambo mengi sana
 
Kinyama, maji ya mchele na kuchujia nguo ya ndani kwa wazama chumvini sio ishu sana maana uchy na vilivyomo wanavila kila siku
 
Kamwe nuru na giza havipatani, hayo malimbwata huwapata wasiotokana na Mungu kiimani lakini waliofunuliwa ukuu wa Mungu hata ujihangaishe vipi bado tu watasimama imara na kutoweweseka na limbwata zaidi ya kupoteza muda wako bure.
Jidanganye tu
 
Yani bora hata sisi tuwape wanawake limbwata kuliko wanawake watupe limbwata wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…