falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
Mtoto unamiguu mizurTanzania hakuna waganga wala uchawi, ungekuwepo taifa stars yetu ingebaki kileleni, mawinguni juu kabisa.
Hizi mbinu zote zikielekezwa misri lazima turudi na kombe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto unamiguu mizurTanzania hakuna waganga wala uchawi, ungekuwepo taifa stars yetu ingebaki kileleni, mawinguni juu kabisa.
Hizi mbinu zote zikielekezwa misri lazima turudi na kombe.
[emoji38][emoji38]nyama tena maini
Unajuwa huo mguu wa jamii ya avatar yako ni zaidi ya limbwata?Tanzania hakuna waganga wala uchawi, ungekuwepo taifa stars yetu ingebaki kileleni, mawinguni juu kabisa.
Hizi mbinu zote zikielekezwa misri lazima turudi na kombe.
Hilo namba 4 la kisomo, hujasema ni kisomo kipi.
Ole wako uihusishe Qur'an na huo uchawi wa kishenzi.
HahahaUnajuwa huo mguu wa jamii ya avatar yako ni zaidi ya limbwata?
KisomoHilo namba 4 la kisomo, hujasema ni kisomo kipi.
Ole wako uihusishe Qur'an na huo uchawi wa kishenzi.
Dah!Uko sahihi kabisa..
Mimi bro wangu alifanyiwa hiyo ya nyama, aliteseka sana. Kwanza aliichukia kazi akawa hataki kwenda kazini anataka abaki na mkewe nyumbani. Akiwa nyumbani anazima simu kabisa hapatikani hata siku tatu. Kazini haendi kazi yake kukaa nyumbani.
Mke sasa ndo anakuwa mume, yeye kutwa kiguu na njia na asiulizwe unaenda wapi. Bro anabaki kuhudumia watoto, awapikie, awaogeshe afue nguo, asafishe nyumba...
Siku akienda kazini akirudi msosi hakuna anaambiwa "nimechoka kupika kama vp kapike mwenyewe" hapo hela ameacha asbh. Bas bro anakuwa mpole tu anaenda kununua viepe alalie. Sina hakika kama unyumba alikuwa anapewa aisee.
Na siku zote ukimwambia umelogwa wewe basi atakufukuza kwake kama mbwa. Usiombe ndg yako afanyiwe hii kitu aisee
Pole Bro!Daah,mimi nilipigwa hio namba 6,nlipata mateso miaka kadhaa,hadi pale jirani yangu aliponitonya kuwa mama wtt wako kaning’iniza Tarasimu juu ya huu mti wa mzambarao,na huo mti ulikua uani kwetu
Nlipaanda juu ya mti nikaifungua ile kamba,kisha nlimpa kipondo heavy mama watt na akafunga virago na kwenda kwako tangia 2013 hadi waleo naishi kwa raha na amani
Hilo namba 4 la kisomo, hujasema ni kisomo kipi.
Ole wako uihusishe Qur'an na huo uchawi wa kishenzi.
😂😂😂😂😂😂Da Faiza hutaki kutibuliwaHilo namba 4 la kisomo, hujasema ni kisomo kipi.
Ole wako uihusishe Qur'an na huo uchawi wa kishenzi.
HkikWanaume wa cku hizi ukitaka utumie Limbwata la bei rahis kututeka ni kuacha kutuomba hela tu.
Ni kweli mkuu !! Tusiache kuomba.Kwa maisha tunayoishi wanaume hakuna namna ya kujikinga zaidi ya wewe kwenda kuomba mungu akupatie mke mwema.
Jidanganye tuKamwe nuru na giza havipatani, hayo malimbwata huwapata wasiotokana na Mungu kiimani lakini waliofunuliwa ukuu wa Mungu hata ujihangaishe vipi bado tu watasimama imara na kutoweweseka na limbwata zaidi ya kupoteza muda wako bure.
Umejuaje ?Mwanaume aliyewekewa lipwata anapooza sana. Akitoka kazini anawahi nyumbani anajaa sitting room
Yani bora hata sisi tuwape wanawake limbwata kuliko wanawake watupe limbwata wao.Hata sisi wanaume hutilia limbwata wanawake pia......
...... kuna mwanaume anashinda kwa bao toka asubuhi bila mishe yoyote, then ana wake wanne, mmoja nurse , wawili maticha, na wa mwisho mama wa nyumbani. .... Hao wafanyakazi mshahara ukiingia wanapeleka kwa husband akapange matumizi ya mwezi.....
Cha ajabu zaidi wote wanakaa ktk jumba moja lililojengwa kwa mkopo wa bank wa kila mmoja wa hao watatu
Maajabu hayaishi Africa
# huyu bwana ni walewale kina Faiza Fox.