britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
-
- #21
Hahakinga yake iko vp dhidi ya kinyama"kimshkaki" na iyo ya shahawa???.
Aliyewekewa limbwata hata ukimwambia kuhusu limbwata alilowekewa anakuwa mbish mno,anakataa katakata na tena anaweza rusha ata ngumi...je, ni kweli ktk hili???
Mbaya zaidi hata wao uomba Mungu. Jaribu kuangalia wanaumeume wengi waliookoka hapo kuna vingi utajiuliza bila majibu. Siyo wote lakini vitu vinafanyanyika kwenye makanisa ya kilokole sijawahi kuwa na imani nayo.Kamwe nuru na giza havipatani, hayo malimbwata huwapata wasiotokana na Mungu kiimani lakini waliofunuliwa ukuu wa Mungu hata ujihangaishe vipi bado tu watasimama imara na kutoweweseka na limbwata zaidi ya kupoteza muda wako bure.
Hujaona mchawi wa Taifa kaenda?Tanzania hakuna waganga wala uchawi, ungekuwepo taifa stars yetu ingebaki kileleni, mawinguni juu kabisa.
Hizi mbinu zote zikielekezwa misri lazima turudi na kombe.
Na kuikwepa MichepukoKwa maisha tunayoishi wanaume hakuna namna ya kujikinga zaidi ya wewe kwenda kuomba mungu akupatie mke mwema.
True.. Ni sababu ya wadau wengi kukimbia familia zaoNa kuikwepa Michepuko
HIVI Na mamantilie nao wanatufanyia hivyo
Hivyo vitu hucheza na fikra na hofu juu ya wajinga wanoamini amini uchawi una nguvu kuliko Mungu Muumba wa viumbe vyote.Mbaya zaidi hata wao uomba Mungu. Jaribu kuangalia wanaumeume wengi waliookoka hapo kuna vingi utajiuliza bila majibu. Siyo wote lakini vitu vinafanyanyika kwenye makanisa ya kilokole sijawahi kuwa na imani nayo.
Hao waganga kwa nini wasitusaidie kwenye mambo ya msingi kama taifa, Madini tunapigwa , Starz inapigwa nao wapo tu wanatufanya mazezeta kwa wake zetu. Manina
unawawekeaga wanaume zako?Mwanaume aliyewekewa lipwata anapooza sana. Akitoka kazini anawahi nyumbani anajaa sitting room
wanga wakubwa nyieHilo namba 4 la kisomo, hujasema ni kisomo kipi.
Ole wako uihusishe Qur'an na huo uchawi wa kishenzi.
Nakubaliana na wewe mkuuHivyo vitu hucheza na fikra na hofu juu ya wajinga wanoamini amini uchawi una nguvu kuliko Mungu Muumba wa viumbe vyote.
Ukiwa na hofu ktk jatibu/changamoto yoyote ile na ukakosa uvumilivu ni lazima uangukie ktk mitego ya shetani.
Kikubwa hasa ni kutohusisha fikra zako kabisa na habari za kishirikina hata urogwe vipi we amini tu huko kurogwa kwako kutakuwa na mwisho wake na aliyekupatia pumzi ndiye mwenye mamlaka ya kuruhusu uondokwe na uhai lakini vinginevyo utadhoofika kipindi cha majaribu tu na utarudi ktk hali ya kawaida kiafya, kiakili, kimwili na kiroho/kiimani.
NB: HAKUNA KISICHOWEZEKANA KWA MUNGU LAKINI JARIBU HUWA CHACHU KWETU BINADAMU KUTUWEKA IMARA KIIMANI.
EwaaaYote Tisa limbwata mauno yako tu.
Kwani kisomo kinatokana na biblia siyo??Hilo namba 4 la kisomo, hujasema ni kisomo kipi.
Ole wako uihusishe Qur'an na huo uchawi wa kishenzi.
Hana raha zaidi ya mshahara hana Mishe za pesa. Ukimwambia mama yangu anaumwa anakukodolea mimachoda
dada sky utakuwa na raha na mwanaume wa aina hiyo kweli?