Aina za Limbwata Wanawake wanazotumia kutushika, je we umepewa mojawapo hapa. Ni uchafu mtupu

Aina za Limbwata Wanawake wanazotumia kutushika, je we umepewa mojawapo hapa. Ni uchafu mtupu

Kwani kisomo kinatokana na biblia siyo??
Hujaona yale matangazo ya kumrudisha mme,mvuto nk yanayobandikwa na Sheikh Sharrifa wa Zanzibar??..
Si kila kisomo kinatokana na Qur'an. Kuna vitabu nje ya Qur'an, vingi sana, vimeandikwa kwa Kiarabu. Ndiyo maana nikasema msihusishe Qur'an na uchawi wenu wa kishenzi.

Qur'an ni shifaa.
 
we niekee limbwata uwezavyo Ukiweza niachisha kuchepuka ntajua we kiboko...yani nikishajiona hamna mwanamke mwingine ni wewe tu DUNIA nzima ndio ntajua limbwata lako Grade A.

ila kama kila kitu ntasema ndio mke wangu lkn Mchepuko nao kama kawa aaah we piga limbwata zote ukiweza ongeza tu maana sioni dhambi kukupenda mke wangu hata ukitaka nikusalimia ntakusalimia Sioni tatizo(wewe ndio mke wangu)

Kama limbwata ni ili nikupende hata usijihangaishe ahadi yangu iko pale pale kukupenda tii i die...we tafuta la kunfanya hata nikutane na cardi B nisijiguse kugeuza shingo..au nicki minajakipta nisizungushe hata kope..Tofauti na hapo Tulizana tu.
 
Aaah sijali wala nini mie sitaki mwanaume zuzu najijua mi mkorofi nitamwonea.... Inabidi nikutane na kichwa ngumu anidhibiti sasa mwenye kuwekewa limbwata ataweza wapi kunidhibiti
Safi!!
Hapo sawa kabisa
 
Kwa mama ntilie ni vile tu wanakuwa wanashindana wao kuvutia wateja... Ila uchafu tunatafunaaa hasa.

Kuna mseng mmoja mfanyabiashara wa nyama ya ngombe... Kabla ya kuichinja anaiingilia...anakojoaa humohumo...

Ikifika buchani saa sita hamna kitu mamaee...
 
kila kisomo kinatokana na Qur'an. Kuna vitabu nje ya Qur'an, vingi sana, vimeandikwa kwa Kiarabu. Ndiyo maana nikasema msihusishe Qur'an na uchawi wenu wa kishenzi.

Qur'an ni shifaa.
Hivi kuna watu wengine wanafanya kisomo zaidi ya Nyie. Kwa sasbabu kisomo ni kwa kiarabu na nyie ndo mna kijua au nakosea mie. Nisaidie Hajat
 
Daah,mimi nilipigwa hio namba 6,nlipata mateso miaka kadhaa,hadi pale jirani yangu aliponitonya kuwa mama wtt wako kaning’iniza Tarasimu juu ya huu mti wa mzambarao,na huo mti ulikua uani kwetu
Nlipaanda juu ya mti nikaifungua ile kamba,kisha nlimpa kipondo heavy mama watt na akafunga virago na kwenda kwako tangia 2013 hadi waleo naishi kwa raha na amani
kabisa pole sana kwa hili jambo
 
Back
Top Bottom