stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Hujamalizia,anaosha vyombo na kuchambua mchele,wakati wife anaangalia tamthilia sittingroom...Mwanaume aliyewekewa lipwata anapooza sana. Akitoka kazini anawahi nyumbani anajaa sitting room
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujamalizia,anaosha vyombo na kuchambua mchele,wakati wife anaangalia tamthilia sittingroom...Mwanaume aliyewekewa lipwata anapooza sana. Akitoka kazini anawahi nyumbani anajaa sitting room
Huko kwa michepuko hukondo muache kutuwekea hayo madude washauri na wenzio mama
Hiyo sifahamu lakini nilishuhudia mama mmoja alimuwekea mume wake limbwata, mpaka mwenyewe alikuwa anaona aibu. Hata akiwa anakuna nazi jikoni Baba anasogeza kigoda anakaa.Hujamalizia,anaosha vyombo na kuchambua mchele,wakati wife anaangalia tamthilia sittingroom...
Mhh zote tajwa hapo juu. Hata ndugu zake wakimfungua moja nyingine zinazidi kukaza.Teh..Umemfanyie ipi kati ya hizo?
Njoo nikufanyie[emoji14]I wish siku mtu anifanyie hayo makitu nione ufanisi wake..Sijawahi kuyaamini..
Nimecheka kwa nguvu dahDalili za aliyelishwa limbwata huonwa na ndugu au marafiki lakini mhusika hata ukimwambia hakuelewi.
Utasikia eti baby "wanasema umenipa limbwata!!!. Mimi naona wananionea wivu tu, mapenzi kusaidiana au sio mke wangu? Mimi nakusaidia kupika, kufua, kufagia na kudeki, kuosha vyombo n.k kwani wao kinawauma nini?.
Ndugu zangu na marafiki sitaki kuwasikia kabisa wao ndio wanataka kunitenganisha na mtu nikupendae, wanafiki wakubwa".
HahahahahaMambo ya mwanaume anakaa tu home kazi ya kusema ndio mke wangu mie siyataki... Raha ya mwanaume anishughulishe, achelewe kurudi home tugombane kidogo tuombane msamaha... Nigundue walau ana ka mchepuko ka kunikasirisha tuvurugane weee sio jitu lina kazi ya kusema I love you my wife kajaa sebuleni mapemaaaa... Hapana mie limbwata simwekei mtu sitaki
[emoji23]Kwani kisomo kinatokana na biblia siyo??
Hujaona yale matangazo ya kumrudisha mme,mvuto nk yanayobandikwa na Sheikh Sharrifa wa Zanzibar??..
Aaah sijali wala nini mie sitaki mwanaume zuzu najijua mi mkorofi nitamwonea.... Inabidi nikutane na kichwa ngumu anidhibiti sasa mwenye kuwekewa limbwata ataweza wapi kunidhibitiHahahahaha
Usijejuta tu yakikukuta kweli
Pole mkuuDaah,mimi nilipigwa hio namba 6,nlipata mateso miaka kadhaa,hadi pale jirani yangu aliponitonya kuwa mama wtt wako kaning’iniza Tarasimu juu ya huu mti wa mzambarao,na huo mti ulikua uani kwetu
Nlipaanda juu ya mti nikaifungua ile kamba,kisha nlimpa kipondo heavy mama watt na akafunga virago na kwenda kwako tangia 2013 hadi waleo naishi kwa raha na amani