- kANA -
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 4,072
- 10,514
Kama sikufeel, hata ukate mauno kama feni bovu, hunikamati ng'o!Yote Tisa limbwata mauno yako tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama sikufeel, hata ukate mauno kama feni bovu, hunikamati ng'o!Yote Tisa limbwata mauno yako tu.
Hiki ulichokiandika ni aina nyingine ya Limbwata!Mambo ya mwanaume anakaa tu home kazi ya kusema ndio mke wangu mie siyataki... Raha ya mwanaume anishughulishe, achelewe kurudi home tugombane kidogo tuombane msamaha... Nigundue walau ana ka mchepuko ka kunikasirisha tuvurugane weee sio jitu lina kazi ya kusema I love you my wife kajaa sebuleni mapemaaaa... Hapana mie limbwata simwekei mtu sitaki
"Si kila kisomo kinatokana na Qur'an"Si kila kisomo kinatokana na Qur'an. Kuna vitabu nje ya Qur'an, vingi sana, vimeandikwa kwa Kiarabu. Ndiyo maana nikasema msihusishe Qur'an na uchawi wenu wa kishenzi.
Qur'an ni shifaa.
Lipi kati ya hizo??..Njoo nikufanyie[emoji14]
Madame we limbwata lako liko kichwani..Ukichanga na mfunzo ya mkoleni basi mwanaume hapinduiMhh zote tajwa hapo juu. Hata ndugu zake wakimfungua moja nyingine zinazidi kukaza.
Kama unavyosema hakitajwa kisomo lakin ww ushakimbilia kujishuku kama UNAOGA NJE.au ni kwel???Hilo namba 4 la kisomo, hujasema ni kisomo kipi.
Ole wako uihusishe Qur'an na huo uchawi wa kishenzi.
Hahahaaaa. Mkuu hii balaaaKwa mama ntilie ni vile tu wanakuwa wanashindana wao kuvutia wateja... Ila uchafu tunatafunaaa hasa.
Kuna mseng mmoja mfanyabiashara wa nyama ya ngombe... Kabla ya kuichinja anaiingilia...anakojoaa humohumo...
Ikifika buchani saa sita hamna kitu mamaee...
Hahahaaaa mkuu kama namuona alivyokuwa amefura kwa hasira baada ya kuambiwa dawa imechuja.Ahhh mtu anakuwa kama Zezeta, kuna ambaye aliwahi kunifanyia ili kila akiniomba pesa kwa msisitozo eti nimpe halafu sasa anakuwa sio mke ni demu tu. kila akipiga yeye ni hela tu hana lingine nikasema hapa sio bure kuna kitu sikuwahi kumpa hadi leo, nikabaini kuwa huwa wanafanya vitu kwa kujiamini mganga atakuwa alimwaminisha kuwa tayari we nenda ukamwambie chochote unachotaka atakupa ahah, nikiwa kwangu napokea simu naambiwa mambo ya hela napuuzia tu
Mwingine akinambia hela ya matumizi imeisha au kodi ya nyumba imeisha au anahitaji pesa kwa ya kitu flan yani najisikia nakosa amani sina raha hata ukinipa chakula sili mpaka niwe nimetuma iyo hela, nakosa raha kabisa duh, badae nikajitambua alivyorudia kuomba hela nikasema huyu basi anajua lazima zitoke leo namkomalia ahaha, livyo sisitiza nikamwambia dawa imechuja alitukana matusi yoooooooooooote
Kama sikufeel, hata ukate mauno kama feni bovu, hunikamati ng'o!
Wote mnakata mauno tena wapo ambao ni jadi yao kufunzwa ukataji mauno lakini wanaachika bibie ni mauno na dawaYote Tisa limbwata mauno yako tu.
We unataka ipi..siwafukuzi bazazi atakaenielewa na iyo avator ndo anafaaLipi kati ya hizo??..
Tangu juzi avatar zako sizielewi..Ndo kuwakimbiza mabazazi ama?
Hiki ulichokiandika ni aina nyingine ya Limbwata!
mhn! ngoja tutaona!Yote Tisa limbwata mauno yako tu.
Uko sahihi kabisa..Dalili za aliyelishwa limbwata huonwa na ndugu au marafiki lakini mhusika hata ukimwambia hakuelewi.
Utasikia eti baby "wanasema umenipa limbwata!!!. Mimi naona wananionea wivu tu, mapenzi kusaidiana au sio mke wangu? Mimi nakusaidia kupika, kufua, kufagia na kudeki, kuosha vyombo n.k kwani wao kinawauma nini?.
Ndugu zangu na marafiki sitaki kuwasikia kabisa wao ndio wanataka kunitenganisha na mtu nikupendae, wanafiki wakubwa".
Eti sinyagi hayo makitu kabisaYote Tisa limbwata mauno yako tu.