Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Makitu gan tena mamy?
Eti sinyagi hayo makitu kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti sinyagi hayo makitu kabisa
Libwata siyatumiiMakitu gan tena mamy?
MmmmmNa mlishwe tu.
Uko sahihi kabisa..
Mimi bro wangu alifanyiwa hiyo ya nyama, aliteseka sana. Kwanza aliichukia kazi akawa hataki kwenda kazini anataka abaki na mkewe nyumbani. Akiwa nyumbani anazima simu kabisa hapatikani hata siku tatu. Kazini haendi kazi yake kukaa nyumbani.
Mke sasa ndo anakuwa mume, yeye kutwa kiguu na njia na asiulizwe unaenda wapi. Bro anabaki kuhudumia watoto, awapikie, awaogeshe afue nguo, asafishe nyumba...
Siku akienda kazini akirudi msosi hakuna anaambiwa "nimechoka kupika kama vp kapike mwenyewe" hapo hela ameacha asbh. Bas bro anakuwa mpole tu anaenda kununua viepe alalie. Sina hakika kama unyumba alikuwa anapewa aisee.
Na siku zote ukimwambia umelogwa wewe basi atakufukuza kwake kama mbwa. Usiombe ndg yako afanyiwe hii kitu aisee
Hasante!Looh wewe una mapenzi ya hisia hongera sana
bibi punguza wengeHilo namba 4 la kisomo, hujasema ni kisomo kipi.
Ole wako uihusishe Qur'an na huo uchawi wa kishenzi.
Yes alishatoka. Baada ya kutoka sasa ndio mke akaanza kuelezea alichomfanyia bro, anadai alishawishiwa na dada ake. Bro ameamua kumpa likizo mkewe, hv yupo kwao hukoVipi ameshatoka kifungoni?
Huwa unanionaeeee!!! maana kama vile huwa unaniona, hata saa hizi niko sitting room nimetoka job fasta kuwahi homeMwanaume aliyewekewa lipwata anapooza sana. Akitoka kazini anawahi nyumbani anajaa sitting room
Muombe Mungu akuepushe nahiyo mitihan nilimuona Mwalimu wetu naubabe wake wote yalimkuta haya akawa km mpumbavu kabisa alikuwa anafua na kupika Ndugu zake wakagundua wakamsaidia.I wish siku mtu anifanyie hayo makitu nione ufanisi wake..Sijawahi kuyaamini..
Kila kitu kina mwanzo na mwisho, mtu kama hakupendi ni hakupendi tuu!
Limbwata likiisha mwanaume ananza vituko!
Tujikubali na kujiamini!
Yana mwisho wake!Likiisha unatafutiwa dose nyingine
😂😂😂😂😂ndo ma
ndo maana waha wakichinja ng'ombe zinakuwa na mafuta meupe meupe nyuma
Hahaha😂😂😂😂😂
Mambo ya mwanaume anakaa tu home kazi ya kusema ndio mke wangu mie siyataki... Raha ya mwanaume anishughulishe, achelewe kurudi home tugombane kidogo tuombane msamaha... Nigundue walau ana ka mchepuko ka kunikasirisha tuvurugane weee sio jitu lina kazi ya kusema I love you my wife kajaa sebuleni mapemaaaa... Hapana mie limbwata simwekei mtu sitaki