Aina za ndevu kwa wanaume na tabia zao

Aina za ndevu kwa wanaume na tabia zao

1.Ndevu mzuzu
5b9ee22fa757a341454ddb0151222f5b.jpg


Ndevu hizi wanazo wanaume wengi wanaoishi uswahilini.
Mara nyingi wenye ndevu hizi hupendelea sana kwenda kwenye "MINUSO" wanakula sana ubwabwa na pia kwenye vijiwe vya kahawa huwakosi.

2.Ndevu mchongoma
8d7aac2f9e62a590a2d9d3dadac80a9f.jpg

Wenye ndevu hizi ni wale walioishi enzi za ukoloni.
Ni wakali san kwenye familia zao ,hasa kwa mabinti na wanapatikana sana maeneo ya ushuani.
Wanapenda kufuga mbwa na getini wanaandika "Kuna mbwa wakali"(Huyu baba angu kabisa)

3.Ndevu mviringo
8318331764e141d872b761f72e56988c.jpg

Kwa jina lingine zinajulikana kam "O".
Wenye ndevu hizo wana bahat sana ya kupendw na "Mademu"
Wengi wao wanapatikana Dar Na kilimanjaro.

4.Ndevu kauzu
fe5e02bbf3c7073d9785d153572bf5f4.jpg

Wenye ndevu hizi wanajifanya kila kitu wanakijua .
Wanapenda sana mademu.
Na ni rahisi sana kufumaniwa .
Watu wa simiyu wanasifika san kwa kuzifuga.(Hawa wapo wengi jf wakiongozwa na Kaka angu Gudume)

Demiss(Cha mdeko)
Ngoja nimwite Mpoki wa Efm: hiyo ya mwisho
 
Hiyo namba7 ni uchochezi kabisa maana kiongozi yule anazo za hivyohivyo
 
Back
Top Bottom