Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nimwite Mpoki wa Efm: hiyo ya mwisho1.Ndevu mzuzu
![]()
Ndevu hizi wanazo wanaume wengi wanaoishi uswahilini.
Mara nyingi wenye ndevu hizi hupendelea sana kwenda kwenye "MINUSO" wanakula sana ubwabwa na pia kwenye vijiwe vya kahawa huwakosi.
2.Ndevu mchongoma
![]()
Wenye ndevu hizi ni wale walioishi enzi za ukoloni.
Ni wakali san kwenye familia zao ,hasa kwa mabinti na wanapatikana sana maeneo ya ushuani.
Wanapenda kufuga mbwa na getini wanaandika "Kuna mbwa wakali"(Huyu baba angu kabisa)
3.Ndevu mviringo
![]()
Kwa jina lingine zinajulikana kam "O".
Wenye ndevu hizo wana bahat sana ya kupendw na "Mademu"
Wengi wao wanapatikana Dar Na kilimanjaro.
4.Ndevu kauzu
![]()
Wenye ndevu hizi wanajifanya kila kitu wanakijua .
Wanapenda sana mademu.
Na ni rahisi sana kufumaniwa .
Watu wa simiyu wanasifika san kwa kuzifuga.(Hawa wapo wengi jf wakiongozwa na Kaka angu Gudume)
Demiss(Cha mdeko)
hahaaaaaAlishaniambia nikiwa naenda niendee bila pichuuu
ndevu kipilipiliInaitwaje hiyo
Duh!!Una gundu
Nakupenda balaaa Demise..umenifurahisha tuHunipendi kabisa jaman mm tahira sawa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Wenye nazo wengi wanyoa uparaSijawahi kuziona
Hahaha ngoja nikamchunguze nahisi huwa wasiri sanaWenye nazo wengi wanyoa upara
Kama yule baunsa wa Diamond.
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaogopa
Why not.? Njoo uchukue zawadi yakoSawaa nimekuongezea siku za kuishi nipe zawad tafadhali