R Riheba Member Joined Sep 6, 2021 Posts 5 Reaction score 6 Nov 13, 2024 #1 Habari wapendwa polen na majukum ya Kila siku. Jaman Mimi kama mwana familia naomba msaada kidogo wa kujua aina za ultrasound machines na bei zake. Kuna Uzi niliuona ukizungumzia kuhusu kufungua maabara hapa sasa naombeni msaada pia.
Habari wapendwa polen na majukum ya Kila siku. Jaman Mimi kama mwana familia naomba msaada kidogo wa kujua aina za ultrasound machines na bei zake. Kuna Uzi niliuona ukizungumzia kuhusu kufungua maabara hapa sasa naombeni msaada pia.