Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila sehemu wana zima sa tufanyajeila wewe😂😂😂😂
😂😂😂Au wanajaribu kututenganisha sie coz n wachafuzi wa nyuzi za watuKila sehemu wana zima sa tufanyaje
Ngoja tuishie hapa 😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌😂😂😂Au wanajaribu kututenganisha sie coz n wachafuzi wa nyuzi za watu
sawa,,ila ntakuona wap sasa😂😂😂Ngoja tuishie hapa 😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
Na apa tunazima tena 😀Kila sehemu wana zima sa tufanyaje
Ila kweli 2000 inanunua nini kwenye milo mitatu😂😂😂Nyie mnajulikana Kwa ubahili msisingizie vikoba 😂😂
Hapa hapasawa,,ila ntakuona wap sasa😂😂😂
kivip sasHapa hapa
Wamefuta ule uzi wetukivip sas
Now natafuta sehemu nzuri tujiachie hivo ni swala la mda tuu..sawa,,ila ntakuona wap sasa😂😂😂
yaani afu ulibamba huo 😕😕Wamefuta ule uzi wetu
Fanya ivo manyanyaso yamezid aseeee😂😂😂😂Now natafuta sehemu nzuri tujiachie hivo ni swala la mda tuu..
Na pia Nipo naandaa uzi kabisa huo ni mi na wewe tu 😂 😂 😂
Nipo namalizia hapa kama paragraph 2, 3 hivi...
Then na shusha kule jukwaa pendwa
Mi kiukweli manyanyaso, masimango na dharau tunazofanyiwa sipendi na wala siwezi...🙌🙌🙌🙌Fanya ivo manyanyaso yamezid aseeee😂😂😂😂
Fanya haraka sana 😂😂npo nasubiri apaMi kiukweli manyanyaso, masimango na dharau tunazofanyiwa sipendi na wala siwezi...🙌🙌🙌🙌
Bora ugali dagaa kwenye amani,
Kula wali nyama vitani 😂😂😂😂
😀😀Ila kweli 2000 inanunua nini kwenye milo mitatu
😀Nafikir bila kuwepo hii emoj maishayangu yangekuwa magumu sana😀 sikumbuki emoj ya kununa nimetumia liniUnajua hizi emoji zinanifanya niwaze jinsi ulivyo hiyo smile na macho vinafurahisha ujue!, 🤣☺️
Hapo huna mke una KihorooMi wa kwangu ni mchanganyika kama wa aina 6 hiV katika hizo zote
Hapa mm pia nafit,asa usiombe ukutane na ambae hajui kubembeleza au uchokwe kubembelezwa 😂😂😂,utatamani uhadisie dunia nzima wakusaidie kumshawishi akubembeleze.Ongezea
11. Wake wanaopenda kununa na kubembelezwa kila saa
Nipo hapa