Aina za wake (Type of wives)

Yani my dear inaenda inachange πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mimi ni too much mibembelezo ndo mambo yngu had kunamtu alinambia nitateseka sana nikipata asiejua kudekeza na kweli now nimepona nilipata kiboko hasa πŸ˜ƒ
Nashkuru kumbe sipo mwenyewe
Kuna huyo anajua kubembeleza kuna siku alinibadilikia niliona kama anataka anipige sio kwa zile hasiraπŸ˜‚
Akili zilizoniruka mbona zilirudiπŸ˜‚
 
Yah..na huu ndio ukwel mkuu, huyo mwamba yuko honest. Sasa assume ukute mchiz baddo hajajipata haya huo upuuzi anaanza vipi ku deal nao?
 
Nashkuru kumbe sipo mwenyewe
Kuna huyo anajua kubembeleza kuna siku alinibadilikia niliona kama anataka anipige sio kwa zile hasiraπŸ˜‚
Akili zilizoniruka mbona zilirudiπŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mwenzio sikuhiz nimepona Bado kidogo nitakuwa serious πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kuna wanaume Wana roho ngumu
 
Sitaki ushauri wako
Mimi nishakufa nishaoza🀸
Tena haya mapenz ya kufa kuoza ndio vijana siku hiz hawataki hatavkwa mbali.

Tunataka watu ambao wako mguu uoande mguu sawa hata ukimpiga kibuti unakua huna was was wa yy kunywa sumu akutie matatizoni
 
Tena haya mapenz ya kufa kuoza ndio vijana siku hiz hawataki hatavkwa mbali.

Tunataka watu ambao wako mguu uoande mguu sawa hata ukimpiga kibuti unakua huna was was wa yy kunywa sumu akutie matatizoni
Nimekufa nimeoza naomba uniache..!!
 
Sitaki ushauri wako
Mimi nishakufa nishaoza🀸
Unataka kusema sato(ephen) kameza chambo ndoano ikamnasa nzima nzima!?πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ
 
Shida hawa wamama hawajui kipi kinawatosheleza.
Jichanganye unajua kujaza pesa kama hajaanza ngonjera"ninahudumiwa ila furaha ya mapenzi siipati".
Lamamayeee.
Pesa yangu haihusiki kwenye mapenzi , mpaka TBS wafanye kazi yao kikamilifu mdio pesa inaanza kuwa applied.
Yan nikutie, nikubembeleze na bado nikupe hela? Aah no way..
 
Unataka kusema sato(ephen) kameza chambo ndoano ikamnasa nzima nzima!?πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ
Mwanaume anayejua kubembelezaβœ…β˜ΊοΈ
 
Tena haya mapenz ya kufa kuoza ndio vijana siku hiz hawataki hatavkwa mbali.

Tunataka watu ambao wako mguu uoande mguu sawa hata ukimpiga kibuti unakua huna was was wa yy kunywa sumu akutie matatizoni
Huyu si wa Songea!?
WaSongea wakizama mapenzini kama wanaenda kupigana jihadi aisee!
Unaweza ukajuta kuwapenda.
 
Shida hawa wamama hawajui kipi kinawatosheleza.
Jichanganye unajua kujaza pesa kama hajaanza ngonjera"ninahudumiwa ila furaha ya mapenzi siipati".
Lamamayeee.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒKwa kifupi tunataka vyote Yani tupewe vyote sie tunaopenda kubembelezwa ndo tunaumia zaidi πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…