ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Nashkuru kumbe sipo mwenyeweYani my dear inaenda inachange ๐๐๐
Mimi ni too much mibembelezo ndo mambo yngu had kunamtu alinambia nitateseka sana nikipata asiejua kudekeza na kweli now nimepona nilipata kiboko hasa ๐
Kuna huyo anajua kubembeleza kuna siku alinibadilikia niliona kama anataka anipige sio kwa zile hasira๐
Akili zilizoniruka mbona zilirudi๐