Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hako pia kana u drama queen pia!!Kwanza alijifanya ananipenda kuliko pitiliza,anagombana na kila mtu eti kwasababu yangu,hataki niwe nawasikiliza hata wazazi wangu,yaan alipenda nimsikilize yeye tu
Alinifanya pia nikawa na matumizi makubwa ya kipesa wakati huo naendesha miradi ya familia
Pia alianzisha tabia za kufanya vitendo vya kujitoa uhai pale anapohis niko na wanawake wengine