Aina za watu Maofisini

Kuna wale hawana time na watu, yupo bize na kilichomleta hana mazoea sana, na hutafsiriwa ana maringo kwasababu hashiriki, vijiwe vya umbea au kujiweka karibu na watu.
Hii ipo sana, hata ktk maisha ya kawaida.
Wengine tumeshazoea kuwa buzzy na life letu
 
Yaani unahamishwa halafu unahamia Tena..
Kweli wewe mtu mkubwa

Hongera sanaaa

#YNWA
 
Kuna wale kopa kopa, yaani hela ikiingia tu ataanza kulia shida ilhali wote ni wafanyakazi, hawa dawa bi mikausho tu meseji imeingia wote atataka umkope kwa visingizio mara bodi sijui mikopo ya huko nyuma etc.

Kila mtu ashinde mechi zake ila udananda jau
 
100%

Nilishafanya ofisi imejaa machawa, ndugu, na umbea wenye uswahili mwingi nili-resign baada ya miezi 6.

Nyingine Boss alikuwa anapenda kuongea vitu behind my back haniface direct sababu nilikuwa serious sana, bold na straight. Alikuwa akichakata papuchi team nzima niliyokuwa na supervise (walikuwa ladies tu) wakaanza kuwa wavivu hawawezi tena kudeliver nikamchana boss makavu alafu nikamchapa na resignation.

Kwa kifupi kazini kuna mambo hasa private sector usijaribu kuwa part ya ujinga kwenye ofisi, kuwa tofauti inalipa.
 
Mkuu wewe hukuchakata hata moja.
 
No 2 hiyo inanihusu!
nilipigwa tunguri za hatar ilibaki kidogo niache kazi . Bahati nzuri Kuna mtu WA kijijin nikampa Mikasa ya ndumba ninazo pigwa akasema Baki hapo hapo hakuna kumuogopa KIUMBE ambae anapewa pumzi na ALLAH.!

Kua uyaone,huko makazini Kuna mambo ya ajabu Hadi ukisimuliwa unaweza ukacheka na kushangaaa

Sehemu zenye rizki Zina mambo mengi sana ndugu zangu.!
 
Hiyo ya undugu balaa, kuna watu sikujua kabisa lkn kuna siku lilitokea tukio flan lao ndo nkashangaa kumbe almost kila mtu ni ndugu ofisi ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…