The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Kumbe na wewe huwa unaandikaga. Nikajua ni mtu wa ku like tuYaani hii 😆😂🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe na wewe huwa unaandikaga. Nikajua ni mtu wa ku like tuYaani hii 😆😂🤣
Hii ipo sana, hata ktk maisha ya kawaida.Kuna wale hawana time na watu, yupo bize na kilichomleta hana mazoea sana, na hutafsiriwa ana maringo kwasababu hashiriki, vijiwe vya umbea au kujiweka karibu na watu.
Yaani unahamishwa halafu unahamia Tena..Huyo ndo mimi
Sababu mwanzon nilijidai mtu wa watu yaliyonikuta Mungu anajua
Nikaishia kupelekwa mbwinde huko
Nimehamia jijini kwa Sasa ,aiseeh sina mazoea kabisa,salamu,kazi,naenda na lunch yangu,time ikiisha nasign off nasepa🤣🤣sema wameanza kuniogopa,ila sijali najilinda ,sitaki yaliyonikuta yajirudie🙏
100%Kama unafikiri kufanya kazi kwa bidii tu kunatosha.. utashangaa unafeli kila siku kwenye maofisi ogopa sana watu, hata uwe mchapakazi vipi, waelewe watu kwanza ili uweze kufaulu.
Hizi ni baadhi ya aina za watu.
1. Machawa
Hawa kazi Yao kujipendekeza na kuwachafua wengine ishi nao Kwa tahadhari.
2. Wabaguzi
Aina hii nayo kuwa nayo makini. Wanaweza kukubagua kisa Tu mgeni au kijana wenyewe wakongwe..au kabila hata dini n.k.. . sometimes ubaguzi unaweza kuwa chanzo chake ni wewe kuja kum replace alietoka ambae alikuwa 'kipenzi chao"..
3. Wanafamilia
Pay attention...ofisi nyingi zina wanafamilia na huwezi jua sometimes Hadi uambiwe...unaweza kuta hawasemeshani lakini kwenye kulinda maslahi yao wanakugeuka.. wengine majina tofauti na hata hawafanani kumbe ndugu kabisa...
4. Wanafamilia bandia
Unawajua wale wanaoitana shemeji ...au mkwe.... maofisini..au hata wifi au Mama...au mjomba?
Hizi familia bandia zina kawaida ya kujenga bond yenye nguvu ajabu...ukigusa mmoja Tu umegusa wengine...kaa nao Kwa tahadhari.
5. Wazee wa dili
Hawa nao kaa nao Kwa tahadhari... unaweza fikiri unamripoti mtu Kwa wizi kumbe unapopeleka ripoti Wana mgao wao.....ishi Kwa tahadhari sometimes Bora kujifanya husikii kitu ,huoni kitu.
6. Wazembe
Hawa jitahidi uwajue mapema na uishi nao Kwa tahadhari mapema sana... wengine kama "wachawi"..uzembe atafanya yeye...Kesi anapata mwingine.....
7. Vimbelembele kwenye shughuli
Hakikisha unaenda kwenye misiba au harusi au sherehe za ofisi halafu watazame wale vimbelembele wa kwenye shughuli. Kaa nao Kwa umakini mno. Wengi hutumia hizi shughuli kujiweka close na bosses na Ku manipulate their position and power. Sehemu yeyote yenye emotional issues. Hawa vimbelembele ni watu hatari mno mno..kaa Kwa tahadhari.
8 Coward leaders
Sometimes unaweza jikuta unaumia simply sababu kiongozi wako ni muoga au hawezi ongea vizuri, jitahidi uepuke Viongozi waoga. Bora ujisimamie mwenyewe ikibidi.
.. mengine mtajazia
Mkuu wewe hukuchakata hata moja.100%
Nilishafanya ofisi imejaa machawa, ndugu, na umbea wenye uswahili mwingi nili-resign baada ya miezi 6.
Nyingine Boss alikuwa anapenda kuongea vitu behind my back haniface direct sababu nilikuwa serious sana, bold na straight. Alikuwa akichakata papuchi team nzima niliyokuwa na supervise (walikuwa ladies tu) wakaanza kuwa wavivu hawawezi tena kudeliver nikamchana boss makavu alafu nikamchapa na resignation.
Kwa kifupi kazini kuna mambo hasa private sector usijaribu kuwa part ya ujinga kwenye ofisi, kuwa tofauti inalipa.
Hapana mkuu mambo ya uchakataji ofisini hayafaiMkuu wewe hukuchakata hata moja.
No 2 hiyo inanihusu!Kama unafikiri kufanya kazi kwa bidii tu kunatosha.. utashangaa unafeli kila siku kwenye maofisi ogopa sana watu, hata uwe mchapakazi vipi, waelewe watu kwanza ili uweze kufaulu.