Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Chanjo ya PFIZER imepunguza sana mzigo wa UVIKO Uingereza.Tuchukue tahadhari, usalama wa maisha yako huanza na wewe. Tusijisahau sana. Nawaza, hivi chanjo inayopigiwa chapuo na kuwa imeshaanza kutumika imetoa matokeo chanya? Au bado CORONA imedinda tu? Watuletee matokeo ya chanjo km vile ASTRAZENECA, SPUTNIK V, NOVAVAX etc etc.
Nadhani hao ndio walengwa wa kukaa karantini siku 14 pindi watakapowasiliFirst good step, then next tuzuie abiria kutoka India kuingia nchini kwetu.