jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
HahahaMfipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaMfipa
Nan alikuaminisha habar hyo mkuu?Nchi hii bwana kila mtu mjuaji.
Tuliamishwa na wapiga kelele humu jf eti ndege zetu kubwa zote zimepaki tu JKIA kwa sababu eti hazikuwa na pa kwenda jambo ambalo halikuwa kweli.
Sasa ajabu ya karne walewale tena waliotoa madai hayo ndiwo haohao wanaoshinikiza Air Tanzania isitishe safari zake huko India [emoji23]!
Nchi hii aliyeturoga huenda ni bibi yangu.
Nan alikuaminisha habar hyo mkuu??
Ww ndo unayehangaika mzimu wa Magufuli unawatesa Chaggadema hamuishi kumtaja Mtu alishafariki lkn Kila siku Mwendazake Ohoooo Mara hivi kwani unafikiri Legacy ya Magufuli niyakusahau kirahisi ni suala la Muda tu mtakuja na Correlation analysis za awamu zote za uongozi endeleeni kutengeneza chuki halafu hamjawahi kuishiwa Chuki kwa watu wanaokuwa na Mitazamo tofauti na Chadema/Mbowe/Lissu Leo mko na Majaliwa na Ndugai Makonda mmesahau kidogo kwa sababu hauko Serikali mna roho ya kwann sana nyie watu.Hivi wale wapigania lagacy wako wapi?
Siku hizi wamepungua kasi kabisa.