Nchi hii bwana kila mtu mjuaji.
Tuliamishwa na wapiga kelele humu jf eti ndege zetu kubwa zote zimepaki tu JKIA kwa sababu eti hazikuwa na pa kwenda jambo ambalo halikuwa kweli.
Sasa ajabu ya karne walewale tena waliotoa madai hayo ndiwo haohao wanaoshinikiza Air Tanzania isitishe safari zake huko India [emoji23]!
Nchi hii aliyeturoga huenda ni bibi yangu.