Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwez amini wakenya wanateseka sana na mambo ya Tanzania kana kwamba ni yao
Tunaleta Airbuses mbili brand new na Bombardiers, tunataka mpaka 2020 mvae chupi kichwani.
Watakwambia hizo ni pesa zetu wenyewe...Hehehe za kubeba wanajeshi because hamna abiriaView attachment 1103144
Hehehe za kubeba wanajeshi because hamna abiriaView attachment 1103144
Wanajeshi wanafaa wawe na ndege yao unless wa kwenyu hawana.Wanajeshi wetu wanathaminiw sio wa kwenu wanapakizwa kwenye lorry kama ng'ombe wanaoend kuchinjwa
Wanajeshi wanafaa wawe na ndege yao unless wa Tz hawa.
Kwani wanapanda bure hapo?Hehehe za kubeba wanajeshi because hamna abiriaView attachment 1103144
Hizi ndege zinawauma wakenya sio kitoto [emoji23][emoji23][emoji23]
What do you expect of a country whose decisions are made by a form six leaver?Ukurupukaji mbele kwa mbele. Kukimbilia kununua ndege bila ya kuwa na concrete strategy in how to run them or what should be done in order to run its operation smoothly. POOR PLANNING or LACK OF PLANNING
Kibaya zaidi wana ndege 3 tu [emoji23][emoji23][emoji23]alafu zimechoka[emoji3][emoji3][emoji3]asikwambie MTU wanataman zingekua zao
Wanalalamikia za kwetu wakati za kwao zinabeba maua KIA
Wewe ni mshezi sana, utapata IATA certificate bila ndege?
Hehe unaweza sema una airline kama huna ndege? IATA sio serikali ya kenya ambapo unaweza kupewa vibali ukiwa na kampuni hewaWewe ndiye mshenzi zaidi, IATA license inapewa ndege ama airline?
Mkuu tangu lini Kichaa akaweza kufikiri..??Ukurupukaji mbele kwa mbele. Kukimbilia kununua ndege bila ya kuwa na concrete strategy in how to run them or what should be done in order to run its operation smoothly. POOR PLANNING or LACK OF PLANNING