Air Tanzania kuathirika kwa NGOs kukatiwa Misaada na USAID

😁😁😁😁😁 NGO zimefungwa wazee wa Activity feki hawana jeuri tena ya kukalia mbawa za ATCπŸ˜‚
Mbona sisi tunapanda ndege kwa pesa zetu kwa miaka mingi tu.
 
Hii ni bei ya promotions?
 
Nashangaaa Hadi sasa Serikali sikivu iko kimya Tu Wala hakuna mkakati wowote wa ku-rescue situation! MDH wamefunga Ofisi nadhani
Hawawezi. Kina Mwigulu ndo kwanza watoza raia wakanunue timu, wachezaji na mabasi!

Serikalini kuna hela nyingi sana za bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…