Air Tanzania kuathirika kwa NGOs kukatiwa Misaada na USAID

Air Tanzania kuathirika kwa NGOs kukatiwa Misaada na USAID

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ NGO zimefungwa wazee wa Activity feki hawana jeuri tena ya kukalia mbawa za ATC๐Ÿ˜‚
Mbona sisi tunapanda ndege kwa pesa zetu kwa miaka mingi tu.
 
Mtwara, here we come!
Starting February 17, 2025, fly with Air Tanzania to Mtwara every Monday, Wednesday, and Friday at unbeatable fares!

One-way: TZS 122,200
Round-trip: TZS 199,000

Book your seat now
๐Ÿ“ž +255 748 773 900 | ๐ŸŒ www.airtanzania.co.tz

#AirTanzania #Mtwara #TheWingsOfKilimanjaro
Hii ni bei ya promotions?
 
Nashangaaa Hadi sasa Serikali sikivu iko kimya Tu Wala hakuna mkakati wowote wa ku-rescue situation! MDH wamefunga Ofisi nadhani
Hawawezi. Kina Mwigulu ndo kwanza watoza raia wakanunue timu, wachezaji na mabasi!

Serikalini kuna hela nyingi sana za bure!
 
Back
Top Bottom