Tetesi: Air Tanzania kukamatwa. Ndege ya Rais haikamatwi kwa sheria za IATA


Msukuma ma bus yake hua yanakamatwa breki zimefungwa mpk na kamba za katani mwenyewe anabaki anasema RTO ananichukia sijui nini,jamaa ni tapeli tapeli tu.
 

Ila kweli ifike wakati tuache kumsimanga rais wetu hata kama kakosea isiwe Coz ya kila mtu kumuhadhibu ktokana na makosa yake kila mtu anasema huku mwingine kule nani wa kumtia moyo anapoona mnafurahia hata yasiostahili kufurahiwa na yy anaishiwa nguvu tuwe wazalendo Jamani nasimango hayajengi na hata kufurahia matatizo ya nchi yako hakukuongezei chochote kichwani zaid ya kuonekana mjinga


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, waimba sifa watabadili gia na kusema hakuna raisi ambaye hakupta hasara, ila hii tunayopata mda huu, wa-kanada wanatucheki tu na kiburi chetu
 
Hawa wanazuia malori yetu halafu sisi tunaruhusu ndege zao halafu wale wanaojiita mawakili wasomi kwanini walishindwa kudai fidia baada ya kushinda kesi
Kwani ndege zao zimeleta coroa?
Ndege ya mizigo imekuja kuchukua samaki maana nyie mmeshindwa hiyo tenda na ATCL inadaiwa na mkulima, ikienda tu huko njeinapigwa pini
 
Niliuza hilo swali kule Twitter kuwa kwa nini Ndege zetu haziendi Ulaya na Marekani, mtu mmoja akanijibu leseni yetu hairusi...

Nikatulia tu lakini sikuridhika na Hilo jibu, sasa hapa ndio umenifumbua.
 
Acha kupotosha na takwimu za uongo...tz mwaka 2018-2019 imeingia kwenye top 10 ya nchi zinazoendelea kwa kasi zaidi kiuchumi Africa....by GDP afu unakuja kusema uchumi umeshuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 


S kweli bana inamaana huko comoro Zambia ,Uganda cyo abroad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…