Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mimi sipendi dhulma.Ujue ni miliki yako mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sipendi dhulma.Ujue ni miliki yako mkuu
Hawa jamaa ndio maana Mkapa aliwaita malofa na wapumbavu.Daladala zenyewe huwa zinaomba vibali vya route zao ili kutoa huduma, ndio seuse ndege? Yani iruke tu kutoka bongo hadi Ubelgiji!? SMH
Mmh Wewe unasikitika kweli? Au unafurahia na kukejeli?Masikini Tanzania yetu! Ifike muda viongozi watambue tunahitaji sana diplomasia, Tanzania sio kisiwa haiwezi kujitenga na kujitegemea pekeyake!
[emoji1][emoji1][emoji1] umejibu kama baadhi ya watu wanaodhani kujikinga dhidi ya maambukizi ya COVID-19, kwa jinsi inavyoshauriwa, ni kwa sababu ya Serikali[emoji849] Kweli, akili ni nywele kila mtu anazo zakeAIR TANZANIA/Ndege ya Urais inatumika kubebea miti shamba, dawa ya kienyeji huku wenzetu wakibeba samaki kuuza ulaya.... [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
Jr[emoji769]
Sio kweli I ATA, iliruhusu hata ndege za abiria kwa kipindi hiki ni ruksa kutolewa viti na kuwa za mizigo, ili kupunguzu makali ya ukata kwenye mashirika ya ndege, cha muhimu ni kibali, huwezi enda enda tu eti kisa, ni cargo flight!! Mbona kama wiki mbili zilizopita ATCL, walisafirisha, mizigo kupeleka comoro? Inshu hapa ni kibari cha kuingia ulaya hawana.Naona umekuja na utetezi ambao ni hafifu sana.
Hiyo Ruanda air inaenda as cargo flight na hiyo ruti hawakuwa nayo before.
Tulipe deni, ili tuishi bila mashaka
ha ha ha , Avae!AIR TANZANIA/Ndege ya Urais inatumika kubebea miti shamba, dawa ya kienyeji huku wenzetu wakibeba samaki kuuza ulaya.... [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
Jr[emoji769]
Sasa ikikamatwa Mnamuumiza rais au ninyi wenye! Watanzania punguzeni upumbavu wa akili! Too much nonsense! Hamuwezi kutwa kuitakia nchi Mabaya, ifikie hatua kila mtu awe responsible na Nchi yake.Kama hukujua, mkulima wa South Afroika bado anadai bilioni 40 zake na riba kubwa tu, katika hali isiyo kawaida, ametoa waranty nchi nyingi isipokuwa India ndio walisema hawata kamata hizi ndege.
Lakini pia, Air Tanzania zimepakiwa tu viwanjani isipokuwa bomberdier tatu zinafanya safari za ndani kwa shida sana kwakuwa hakuna abiria, [matajiei waishi kama mashetani].
Jumatano iliyopita MAGUFULI alituma ndege yake[ya Rais] kwenda madagaska kuchukua mitishamba, haikuwa bahati mbaya na si kwamba hakuna Bomberdier zaidi ya 8 zilizopaki, hapana ila zitakamatwa ndio maana akatoa ndege ambayo ina IMMUNITY kutokamatwa.
Jana ndege ya RWANDA, RWANDAIR imetua mwanza na imesaini kandarasi na kiwanda cha mwanza kubeba minofu na kuacha mapanki yaliwe na wanyonge, jiulize kwanini JIWE hana guts za kusema lazma samaki wabebwe na AIR TANZANIA kwa jinsi mnavyomjua alivyo ? ni kwasababu huko nje Ndege ikienda hairudi, na hii korona nakwambia mkulima atafugia hata MABATA huko ndani.
RWANDAIR YABEBA SAMAKI MWANZA KWENDA UBELGIJI
WAZIRI WA MAGUFULI AKAPELEKA NGENGA ZAKE PALE KUZINDUA UBEBAJI, watanzania hakuna wa kuhoji maana hofu kuu imejaa, Shirika la Ndege la Rwanda RwandAir, limezindua safari zake za ndege ya mizigo kutoka jijini Mwanza nchini Tanzania kwenda Brussels Ubelgiji kwa lengo la kusafirisha samaki kwenda katika soko barani Ulaya.
View attachment 1449006ya
AIR TANZANIA/Ndege ya Urais inatumika kubebea miti shamba, dawa ya kienyeji huku wenzetu wakibeba samaki kuuza ulaya
Huyu meko atafanikiwa kuacha zile hostel za UDSM basi.Ndege - Kimeo
Stieglers - bwawa limeshaingia luba
Bado SGR
SGR nayo ikibuma basi mzee wa chato atapiga marktime time bila kuacha legacy yoyote ya maana
Za expansion jointHuyu meko atafanikiwa kuacha zile hostel za UDSM basi.
Sasa ikikamatwa Mnamuumiza rais au ninyi wenye! Watanzania punguzeni upumbavu wa akili! Too much nonsense! Hamuwezi kutwa kuitakia nchi Mabaya, ifikie hatua kila mtu awe responsible na Nchi yake.
Viko wapi hivyo viroba!!Punguza viroba ndugu unawehuka!
Acha kupanik...sasa mbona watu wanaipeleka kama ni nyumba zao...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mjinga ni wewe unayewaza maendeleo ya nchi kama ya nyumbani kwako, ambako naamini yamekushinda ndiyo maana huna hoja ya kujenga nchi yako. Kama huna ajira, hata kulima mchicha kunalipa.
Wivu tu na bado unaenjow utekelezaji mzuri wa Ilani ya Awamu ya Tano.Maji,umeme,usalama wako,huduma za afya and other social servicesNdege - Kimeo
Stieglers - bwawa limeshaingia luba
Bado SGR
SGR nayo ikibuma basi mzee wa chato atapiga marktime time bila kuacha legacy yoyote ya maana
Hivi vyote ninavyo toka enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na JKWivu tu na bado unaenjow utekelezaji mzuri wa Ilani ya Awamu ya Tano.Maji,umeme,usalama wako,huduma za afya and other social services
Na sasa Magufuli anasimamia show tangu 2015 hadi sasa 2020 kaboresha sana Vituo vya afya 370 nchi mzima,Hospitali za Wilaya 60+,Umeme Vijijini 85% ,Maji mini na Vijijini 80+%,Ujambazi umepungua ndani ya Utawala wake ,uwajibikaji mzuri katika taasisi za serikali ,Uhuru wa kuishi na mengineyo😁😁😁👍Hivi vyote ninavyo toka enzi za Nyerere
Ongea mengine