Tetesi: Air Tanzania kukamatwa. Ndege ya Rais haikamatwi kwa sheria za IATA

Tetesi: Air Tanzania kukamatwa. Ndege ya Rais haikamatwi kwa sheria za IATA

Masikini Tanzania yetu! Ifike muda viongozi watambue tunahitaji sana diplomasia, Tanzania sio kisiwa haiwezi kujitenga na kujitegemea pekeyake!
Mmh Wewe unasikitika kweli? Au unafurahia na kukejeli?
 
AIR TANZANIA/Ndege ya Urais inatumika kubebea miti shamba, dawa ya kienyeji huku wenzetu wakibeba samaki kuuza ulaya.... [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]

Jr[emoji769]
[emoji1][emoji1][emoji1] umejibu kama baadhi ya watu wanaodhani kujikinga dhidi ya maambukizi ya COVID-19, kwa jinsi inavyoshauriwa, ni kwa sababu ya Serikali[emoji849] Kweli, akili ni nywele kila mtu anazo zake
 
Naona umekuja na utetezi ambao ni hafifu sana.
Hiyo Ruanda air inaenda as cargo flight na hiyo ruti hawakuwa nayo before.

Tulipe deni, ili tuishi bila mashaka
Sio kweli I ATA, iliruhusu hata ndege za abiria kwa kipindi hiki ni ruksa kutolewa viti na kuwa za mizigo, ili kupunguzu makali ya ukata kwenye mashirika ya ndege, cha muhimu ni kibali, huwezi enda enda tu eti kisa, ni cargo flight!! Mbona kama wiki mbili zilizopita ATCL, walisafirisha, mizigo kupeleka comoro? Inshu hapa ni kibari cha kuingia ulaya hawana.
 
AIR TANZANIA/Ndege ya Urais inatumika kubebea miti shamba, dawa ya kienyeji huku wenzetu wakibeba samaki kuuza ulaya.... [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]

Jr[emoji769]
ha ha ha , Avae!
Unajua hata kampuni ya Canada walio tuuzia hii mizigo wanatusikitikia sana?
Hasara tulizopata so far, kama CAG angekagua tungelia macozi ya damu, sema MKUU akawa mjanja akasema ni za IKULU, hakuna ukaguzi eti anawakodishia AIR TANZANIA
 
Kama hukujua, mkulima wa South Afroika bado anadai bilioni 40 zake na riba kubwa tu, katika hali isiyo kawaida, ametoa waranty nchi nyingi isipokuwa India ndio walisema hawata kamata hizi ndege.

Lakini pia, Air Tanzania zimepakiwa tu viwanjani isipokuwa bomberdier tatu zinafanya safari za ndani kwa shida sana kwakuwa hakuna abiria, [matajiei waishi kama mashetani].

Jumatano iliyopita MAGUFULI alituma ndege yake[ya Rais] kwenda madagaska kuchukua mitishamba, haikuwa bahati mbaya na si kwamba hakuna Bomberdier zaidi ya 8 zilizopaki, hapana ila zitakamatwa ndio maana akatoa ndege ambayo ina IMMUNITY kutokamatwa.

Jana ndege ya RWANDA, RWANDAIR imetua mwanza na imesaini kandarasi na kiwanda cha mwanza kubeba minofu na kuacha mapanki yaliwe na wanyonge, jiulize kwanini JIWE hana guts za kusema lazma samaki wabebwe na AIR TANZANIA kwa jinsi mnavyomjua alivyo ? ni kwasababu huko nje Ndege ikienda hairudi, na hii korona nakwambia mkulima atafugia hata MABATA huko ndani.

RWANDAIR YABEBA SAMAKI MWANZA KWENDA UBELGIJI

WAZIRI WA MAGUFULI AKAPELEKA NGENGA ZAKE PALE KUZINDUA UBEBAJI, watanzania hakuna wa kuhoji maana hofu kuu imejaa, Shirika la Ndege la Rwanda RwandAir, limezindua safari zake za ndege ya mizigo kutoka jijini Mwanza nchini Tanzania kwenda Brussels Ubelgiji kwa lengo la kusafirisha samaki kwenda katika soko barani Ulaya.

Image may contain: one or more peopleView attachment 1449006ya
AIR TANZANIA/Ndege ya Urais inatumika kubebea miti shamba, dawa ya kienyeji huku wenzetu wakibeba samaki kuuza ulaya​
Sasa ikikamatwa Mnamuumiza rais au ninyi wenye! Watanzania punguzeni upumbavu wa akili! Too much nonsense! Hamuwezi kutwa kuitakia nchi Mabaya, ifikie hatua kila mtu awe responsible na Nchi yake.
 
Sasa ikikamatwa Mnamuumiza rais au ninyi wenye! Watanzania punguzeni upumbavu wa akili! Too much nonsense! Hamuwezi kutwa kuitakia nchi Mabaya, ifikie hatua kila mtu awe responsible na Nchi yake.

..ndege zinatutia HASARA kubwa.

..ni KUPE kwa kodi za Watanzania.

..tulitakiwa tujenge VIWANDA badala ya kununua ndege na kuwafaidisha mabeberu.

..ndege ni aghali kuzinunua, na zina gharama kubwa zaidi ktk uendeshaji.
 
Mjinga ni wewe unayewaza maendeleo ya nchi kama ya nyumbani kwako, ambako naamini yamekushinda ndiyo maana huna hoja ya kujenga nchi yako. Kama huna ajira, hata kulima mchicha kunalipa.
Acha kupanik...sasa mbona watu wanaipeleka kama ni nyumba zao...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndege - Kimeo

Stieglers - bwawa limeshaingia luba

Bado SGR
SGR nayo ikibuma basi mzee wa chato atapiga marktime time bila kuacha legacy yoyote ya maana
Wivu tu na bado unaenjow utekelezaji mzuri wa Ilani ya Awamu ya Tano.Maji,umeme,usalama wako,huduma za afya and other social services
 
Hivi vyote ninavyo toka enzi za Nyerere
Ongea mengine
Na sasa Magufuli anasimamia show tangu 2015 hadi sasa 2020 kaboresha sana Vituo vya afya 370 nchi mzima,Hospitali za Wilaya 60+,Umeme Vijijini 85% ,Maji mini na Vijijini 80+%,Ujambazi umepungua ndani ya Utawala wake ,uwajibikaji mzuri katika taasisi za serikali ,Uhuru wa kuishi na mengineyo😁😁😁👍
 
Ndo madhara ya kuwapa "washamba" madaraka yasiyowaenea... Wanajimwambafy kijinga sana...!!
 
Back
Top Bottom