Air Tanzania signs deal with Bombardier for 4th Q400 NextGen

Air Tanzania signs deal with Bombardier for 4th Q400 NextGen

Kila kufuli na ufunguo wake. Kuna ng'ombe sehemu fulani ambao msiba wao tayari umeandikwa kwa wino usiofutika. Maanake kwa mwendo huu hiyo siku ndege itakapowasili lazima watu watachafua nyuso zao wakipambana na minofu. Upande wa pili nao KQ imeingia kwenye mkataba wa order ya ndege kumi kwa mpigo, na sio mapanga boi. Wala usitegemee kusikia vifijo na nderemo vimeshamiri hewani. Its okay, such is life.
Ss izo za KQ sio zenu zina wenyewe au UMesahau kama nyie mnandege tatu tu ikiwemo ile emberor sijui 😀😀 december tunashusha mwali mwingine mpyaaa alafu utupe miaka 10 utakuja kusikia ATCL wana order boeing 777 300 ER 2 na A350 8 sijui huko mtanunaje nafikiri mtaanza namanga kajiado mpaka turkana
 
Hivi ile route ya moja kwa moja John F Kennedy US kila siku inaendeleaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watupe miaka 10 tu lzm watakuja kujifunza kitu hapa Tz ..alafu ss hawajui yaan izo jeuri ya kununua ndege yengine inatokana na route za ndani tu maana ndio kiwango kikukwa ndege zinaruka humuhumu
 
kenya-airways-10year-strategy-9-728.jpg
Endeleeni kukomalia kwenye umbea na porojo. Mimi nawapa tawkimu na uhalisia wa mambo kama yalivyo. ATCL haijafikia hata 1/32 ya 'destination' ambazo KQ ilikuwa inatua kote duniani miaka minane iliyopita.

Atcl ni shirika changa embu mtupe muda lkn msituonee wivu kwa hata ichi kidogo tulicho nacho as lpng as kila mtu atashinda uwanja wake wa nyumbani ....
 
Praise timu tumechoka jamani.....kwa hiyo uchumi unakua sio
.......mnatangaza ajira ya walimu 4,500 wkt kuna uhitaji wa walimu 234,000 nchi nzima nyie mnaakili kweli au mmerogwa. Waalimu zaidi ya 2mil wapo mitaani hawana ajira. Je baado mna uhalali wa kuuliza kwa nn Tz no masikini kwa uwezo wenu mdogo wa kufikiri na kushanhilia vitu vya hovyo namna hii
Acha kuwaza kwa kitumia wowowo wewe tumia akili yako kujiajiri stop thinking of kuajiriwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya kusema hivyo hebu tafakari yafuatayo
1.Average utilization-11 hours kwa siku
2.Q400 tatu hadi sasa zimeshabeba abiria zaidi ya laki tano
3. ATC sasa hivi inakimbilia kama haijavuka kubeba 50% ya abiria nchini.
Kwa hesabu hizi kwa nini isiongezwe nyingine [kwani zinajinunua wenyewe]
HONGERA SANA ATC. Kwa wale pessimist ninajua wataendelea kuponda lakini ukweli unabaki kuwa ATC imeanza vizuri
Siri ni kubana tu matumizi ya hovyo
Wangekua kina mataka ,wangeshanunua v8,50 chakavu za kubebea crew members
 
Siri ni kubana tu matumizi ya hovyo
Wangekua kina mataka ,wangeshanunua v8,50 chakavu za kubebea crew members
Nafurahi sana kuona ATC wamekarabati magari yao ya zamani na yanafanyakazi vizuri. Ingekuwa enzi zile zingeuzwa kwa vigogo kwa bei ya kuokota.
 
Nafurahi sana kuona ATC wamekarabati magari yao ya zamani na yanafanyakazi vizuri. Ingekuwa enzi zile zingeuzwa kwa vigogo kwa bei ya kuokota.
hao wakikaza msuli watafikisha hata ndege 20 mpaka 2021
Tatizo ni wizi tu kwenye tiketi
 
Praise timu tumechoka jamani.....kwa hiyo uchumi unakua sio
.......mnatangaza ajira ya walimu 4,500 wkt kuna uhitaji wa walimu 234,000 nchi nzima nyie mnaakili kweli au mmerogwa. Waalimu zaidi ya 2mil wapo mitaani hawana ajira. Je baado mna uhalali wa kuuliza kwa nn Tz no masikini kwa uwezo wenu mdogo wa kufikiri na kushanhilia vitu vya hovyo namna hii
Walimu 2m wako mtaani hivi unajiskia unachosema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya kusema hivyo hebu tafakari yafuatayo
1.Average utilization-11 hours kwa siku
2.Q400 tatu hadi sasa zimeshabeba abiria zaidi ya laki tano
3. ATC sasa hivi inakimbilia kama haijavuka kubeba 50% ya abiria nchini.
Kwa hesabu hizi kwa nini isiongezwe nyingine [kwani zinajinunua wenyewe]
HONGERA SANA ATC. Kwa wale pessimist ninajua wataendelea kuponda lakini ukweli unabaki kuwa ATC imeanza vizuri
upo kusia kila kitu, bila kutafakari. Uwezekano wa habari hii kuwa fake ni mkubwa. ATC haina ndege, na haijawahi nunua, sababu zipo. Inakodi za serikali.
 
upo kusia kila kitu, bila kutafakari. Uwezekano wa habari hii kuwa fake ni mkubwa. ATC haina ndege, na haijawahi nunua, sababu zipo. Inakodi za serikali.
Humu ndani, kwa taarifa yako kuna watu aina yako na vile vile kuna watu wamebobea kwenye nyanja mbali mbali na usidhani wote humu ni watu wa 'face book'
Vyovyote usemavyo ATC ni mali ya Serikali na hizo ndege ni mali ya serikali.
Serikali ilinunua ndege hizo kwa TGFA kutokana na madeni mengi ambao ATC ilikuwa inadaiwa sehemu mbali mbali. Kwa kuhofia kuwa kunauwezekano wadai hao wangeweza kuzuiwa ndege hizo iwapo zingekuwa kwenye safari zake nje ya nchi. Kuondoa uwezekano huo, ATC imekuwa ikilipa madeni yaliyosababishwa na viongozi waliopita na wamefanikiwa kwa kiasi cha zaidi ya 75%.
 
Kila kufuli na ufunguo wake. Kuna ng'ombe sehemu fulani ambao msiba wao tayari umeandikwa kwa wihno usiofutika. Maanake kwa mwendo huu hiyo siku ndege itakapowasili lazima watu watachafua nyuso zao wakipambana na minofu. Upande wa pili nao KQ imeingia kwenye mkataba wa order ya ndege kumi kwa mpigo, na sio mapanga boi. Wala usitegemee kusikia vifijo na nderemo vimeshamiri hewani. Its okay, such is life.
Acheni siasa na mambo msiyoyafahamu. Hivi unafahamu mfumo wa turboprop???? Hebu Google japo kidogo halafu ndiyo uongee.
 
KQ mna ndege tatu tu na mnaringa.
Ya kuazima haisitiri makalio!
Wengi wenu hamuelewi undani wa umiliki wa KQ na mnaandika kwa hisia au taarifa za mitandaoni ambazo wakati mwingine huwa porojo tu.
Kwa taarifa yenu ni kwamba shirika hili kama ilivyokuwa kwa ATC, lilitwaliwa na serikali ya Kenya baada ya kuvunjika kwa iliyokuwa EAC. Miaka ya tisini, shirika hili lilibinafsishwa ambapo serikal iliuza hisa zake na kubaki na 30% wabia wengine ni KLM 27% na hisa zilizobaki ni za wawekezaji wengine ambapo shirika hili hivi sasa lipo kweny DSE zote za afrika ya mashariki [hivyo yeyote kati yetu anaweza nunua hisa na kuwa mmiliki].
Shirika hili lilikuwa linaenda vizuri sana ila industry hii iko complex na matatizo madogo kama mpipuko wa magonjwa, ugomvi utokanao na siasa, bei ya mafuta, uchumi wa dunia kuyumba n.k
KQ ilikuwa na soko kubwa afrika ya magharibi lakini mlipuko wa Ebola uliathiri sana utendaji wake kwani abiria walipungua na hivyo kushindwa kutumia ndege zake vizuri.
Huko nyumbani matatizo ya usalama yatokanayo tatizo la somalia imeathiri usalama wa kenya na hivyo kupungua idadi ya watalii kwenda kenya kupungua.
Sababu nyingine ni ushindani na mashirika mengine ambayo yanatoa tiketi za bei chee na vilevile kosa kubwa lilifanyika kwa upanuzi wa haraka wa shirika hilo hivyo kufanya operational costs kuongezeka.
Haya ni baadhi tu ya matatizo yanayoikumba Kenya Airways.
 
Kila kufuli na ufunguo wake. Kuna ng'ombe sehemu fulani ambao msiba wao tayari umeandikwa kwa wino usiofutika. Maanake kwa mwendo huu hiyo siku ndege itakapowasili lazima watu watachafua nyuso zao wakipambana na minofu. Upande wa pili nao KQ imeingia kwenye mkataba wa order ya ndege kumi kwa mpigo, na sio mapanga boi. Wala usitegemee kusikia vifijo na nderemo vimeshamiri hewani. Its okay, such is life.
Hayo waambie wakenya wenzio, #hapakazitu.
 
Back
Top Bottom