luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Ss izo za KQ sio zenu zina wenyewe au UMesahau kama nyie mnandege tatu tu ikiwemo ile emberor sijui 😀😀 december tunashusha mwali mwingine mpyaaa alafu utupe miaka 10 utakuja kusikia ATCL wana order boeing 777 300 ER 2 na A350 8 sijui huko mtanunaje nafikiri mtaanza namanga kajiado mpaka turkanaKila kufuli na ufunguo wake. Kuna ng'ombe sehemu fulani ambao msiba wao tayari umeandikwa kwa wino usiofutika. Maanake kwa mwendo huu hiyo siku ndege itakapowasili lazima watu watachafua nyuso zao wakipambana na minofu. Upande wa pili nao KQ imeingia kwenye mkataba wa order ya ndege kumi kwa mpigo, na sio mapanga boi. Wala usitegemee kusikia vifijo na nderemo vimeshamiri hewani. Its okay, such is life.